Search This Blog

Monday, March 18, 2013

REVEALED: AMRI KIEMBA HAKUSTAHILI KUPEWA KADI KWENYE MCHEZO DHIDI YA COASTAL UNION.

3 comments:

  1. Hapo mwamuzi hakutumia weledi wa kazi.Sijui kama TZ
    kuna utofauti na nchi nyingine,Mwamuzi wa pembeni ndiye aliyetakiwa kumuelewesha huyo wa kati nini kimetokea ili uamuzi sahihi utolewe.Hii inachafua profile ya mchezaji katika kipengele cha nidhamu uwanjani...Waamuzi wa aina hii wapewe shule kwanza kabla ya kuchukuliwa uamuzi wa kinidhamu

    ReplyDelete
  2. shaffi kaka unajitahidi sana kwenda na wakati lakin maswali ya kujiuliza ni 1 hawa viongozi wa vilabu wanaangalia blog hii? 2 TFF na kamati zao nao wanafuatilia matukio haya???? ndio maana hatakwenye chaguzi zao hawakutaki!!!!!!!!!!
    \

    ReplyDelete
  3. EPL HUWA CARD ZA AINA HII HUFUTWA .

    JE VPL IPO HIYO NA TFF YAO?

    ReplyDelete