Katika mfumo wa aina yoyote duniani, hawezi mtu kuhukumiwa pasipo kupewa nafasi ya kujielezea kwa tukio halisi ambalo anataka kuhukumiwa, ndo maana shetani alipokosea Mungu alimpa nafasi ya kujitetea kwanza halafu ndo akatoa hukumu ingawa Mungu tayari alikuwa anajua kila kitu. Tukirudi katika mada, haiwezekani hata kidogo eti fifa waifungie Tanzania kwa kusoma habari za magazeti, nadhani mfano mdogo upo wa juzi tu hapa, fifa walituma ujumbe wao kusimamisha uchaguzi ili kuchunguza mgogoro uliokuwa ukiendelea baada ya wao kupata malalamiko lkn sio kusoma kwenye vyombo vya habari, ina maana wakati mgogoro ule unaanza hawakuona kwenye vyombo vya habari?, TFF wasijidanganye, mwisho wa siku hawa jamaa lazima waje nchini ili kupata ukweli na sio kufuata habari za magazetini, wao TFF Wakubali wakatae wao ndio waliopeleka umbea FIFA na kwa sababu kuna baadhi ya watu wameshajenga uswahiba na baadhi ya watu huko FIFA sasa wanataka kuleta yale mambo ya kibongo ya kufanyiana fitina kwa sababu tu wanajuana na fulana huko fifa, lkn wajue kule hakuna ubabaishaiji ile walipewa favor tu kutumwa ile barua ili kuipunguza makali serikali, lkn mambo yakizidi kuwa magumu itabidi fifa waje nchini ili kujua kiini cha tatizo na sio kuandika barua ya kutufungia, nadgani hilo wanalifahamu. maoni yangu ni hayo
nani kasema mkoloni kaondoka ? bado wapo na wanasaidiwa na matenga kula nchi.
ReplyDeleteKatika mfumo wa aina yoyote duniani, hawezi mtu kuhukumiwa pasipo kupewa nafasi ya kujielezea kwa tukio halisi ambalo anataka kuhukumiwa, ndo maana shetani alipokosea Mungu alimpa nafasi ya kujitetea kwanza halafu ndo akatoa hukumu ingawa Mungu tayari alikuwa anajua kila kitu. Tukirudi katika mada, haiwezekani hata kidogo eti fifa waifungie Tanzania kwa kusoma habari za magazeti, nadhani mfano mdogo upo wa juzi tu hapa, fifa walituma ujumbe wao kusimamisha uchaguzi ili kuchunguza mgogoro uliokuwa ukiendelea baada ya wao kupata malalamiko lkn sio kusoma kwenye vyombo vya habari, ina maana wakati mgogoro ule unaanza hawakuona kwenye vyombo vya habari?, TFF wasijidanganye, mwisho wa siku hawa jamaa lazima waje nchini ili kupata ukweli na sio kufuata habari za magazetini, wao TFF Wakubali wakatae wao ndio waliopeleka umbea FIFA na kwa sababu kuna baadhi ya watu wameshajenga uswahiba na baadhi ya watu huko FIFA sasa wanataka kuleta yale mambo ya kibongo ya kufanyiana fitina kwa sababu tu wanajuana na fulana huko fifa, lkn wajue kule hakuna ubabaishaiji ile walipewa favor tu kutumwa ile barua ili kuipunguza makali serikali, lkn mambo yakizidi kuwa magumu itabidi fifa waje nchini ili kujua kiini cha tatizo na sio kuandika barua ya kutufungia, nadgani hilo wanalifahamu. maoni yangu ni hayo
ReplyDelete