Search This Blog

Sunday, March 3, 2013

AZAM FC 5-0 AL NASR - SIMBA SC 0 - 4 LIBOLO


4 comments:

  1. Hongereni Simba kwa hatua kubwa mliyopiga kwa kutolewa kwenye hatua ya awali..Haya ni matokeo ya yale waliyoyachuma kwa mikono yao,.Wasituzuge kwa kutafuta mchawi...

    ReplyDelete
  2. SASA UNAMAANA GANI KUWEKA PICHA ISIYO NA MAHUSIANO NA MASHINDANO AMBAYO AZAMU INASHIRIKI, TENA NI MECHI YA PILI INAONYESHA HAUKO MAKINI, PICHA ZA MECHI YA MWANZO HUKUPATA, AU WEWE NI MPENZI WA SIMBA AU OKWI, TAFADHARI JARIBU KUWA SERIOUS

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndo hauko makini, kwani huelewi nini, si Simba na Azau ndio mada ya kuzungumzia. Ila sio kosa lako ni machungu ya kutolewa wa timu ya simba. na hayo ni matokeo mazuri turiyotarajia. unawezaje kuuza wachzaji katikati ya ligi kama si ktafuta matokeo ya namna hiyo? Timu zote zinazofanya vizuri wamejipanga, Huwezi kuuza Straiker na kununua Goolikeeper (Daila Uganda one), unafikiri huyu atazua na kfungamwenyewe.

      Kuna siku nilisema kwenye sakata la ngsa kukataa kuuzwa, hizo timu kubwa mnazozitaka zinunue wachezaji wenu kwa pese kubwa yamekaa na wachezaji kw mda mrefu na yanaendelea kununua wazuri zaidi ili yajiimarishe na kuwafunga Simba kama walivyofuga na LIBOLO!!
      KAZI KWENU WANAMSIMBAZI

      Delete
  3. tunasubiri siasa za Mzee rage hachelewi kusema wanakata rufaa timu inaendeshwa kienyeji kwa wenzetu walioendelea mchezaji akiuzwa huwa wanatumia kiasi flani kununua mchezaji wa kariba yake lakn kwe2 bongo ndo kwanza kina kaburu na rage wanashibisha matumbo yao

    ReplyDelete