Mshambuliaji wa Taifa Stars, Thomas
Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco, Achchakir Abderrahm katika mchezo wa
kufuzu fainali za kombe la Dunia 2014 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam jana. Stars ilishinda 3-1. (PICHA KWA HISANI YA HABARIMSETO BLOG.)
Kikosi cha Taifa Stars kilichoisambaratisha timu ya Morocco kwa mabao
3-1 katika mchezo wa kufuvu fainali za kombe la Dunia uliofanyika kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Morocco.
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samata akiruka juu
kushangilia bao la 3 aliloifungia timu yake dhidi ya Morocco katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia
zitakazofanyika Brazil 2014 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Amri Kiemba
na Thomas Ulimwengu.
Mshambuliaji
wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco,
Achchakir Abderrahm katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia
2014 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Stars
ilishinda 3-1.
Mbwana Samata kiwania mpira.
Nyota wa mchezo, Mbwana Samata ambaye aliipatia timu yake mabao 2
Thomasi Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco.
Raha ya ushindi.
wapiga picha wawe na kamera zenye uwezo wa kuchukua matukio kwa mbali kuliko hivi kukumbiza wao kwa wao na wacchezaji wanaoshangilia...kwa hivi navyoona kwenye picha ipo siku kunaweza kutokea ajali ya kugongana na kutuumizia wachezaji....hongera Starz
ReplyDeleteHii ndo stars tunayoitaka. Kocha anafanya kazi nzuri sana na Tuombe Mungu afungue njia tuione Brazil 2014! itakuwa furaha iliyoje? NURU SPORTS MSM.
ReplyDeleteUshindi tumepata na vijana wamecheza kwa kujituma ila kuna haya ya kuzingatia kuna wakti timu ilikuwa inakuwa nje kimchezo hususni tulipopata goli la pili kama ulikuwa makini mpira ulianza timu ilikuwa bado haijajipanga hata goli tulilofugwa limetokana na mabeki kuzubaa wakisubiri filimbi ya mwisho je ingekuwa bado dakika kumi?unaweza poteza kaz kubwa kwa uzembe mdogo.TFF wasibweteke refaree kafanya makosa mengi lazma tulalamike fifa na caf afungiwe
ReplyDelete2jipange vizuri 2 na xaxa hivi kila mtu afanye kazi yake mwalimu afundisheee maswhabiki tushangilie na wachezaji wafanye mambo yao uwanjani hakika 2tafika.
ReplyDelete