Timu ya Azam FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Barrack YC II ya nchini Liberia,huu ulikuwa ni mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Mabao ya Azam kwenye mchezo huo yamefungwa na Mkenya Humphrey Mieno pamoja na mshambuliaji Seif Abdallah Karihe aliyeingia kipindi cha pili,
Kwa ushindi huo Azam imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia raundi ya tatu ya kombe la Shirikisho.
No comments:
Post a Comment