Search This Blog

Monday, January 14, 2013

WASHIRIKI WA GUINESS FOOTBALL CHALLENGE WAENDA SOUTH AFRICA

Washiriki wa GFC wakihakiki nyaraka zao kabla ya kuondoka alfajiri kuelekea South Africa.


Washiriki wa GFC wakiagana na ndugu jamaa na marafiki kabla ya kuondoka alfajiri siku ya Jumapili.

Washiriki wa Guinness Football Challenge wakiwa safarini kuelekea Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere

WASHIRIKI WAKIWA KATIKA HOTEL YA CITY INN KABLA YA KUANZA SAFARI YA KWENDA UWANJA WA NDEGE.

Washiriki wa GFC wakiwa uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere tayari kwa safari

No comments:

Post a Comment