Kocha mpya Simba Patrick liewig akiupitia mkataba wake kabla ya kuusaini.
Kocha mpya Simba Patrick liewig akisaini mkataba wa miezi 18 kuifundisha Simba mbele ya Makamu Mwenyekiti Geofrey Nyange pamoja na katibu mkuu wa Simba Bwana Evodius Mtawala.
Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange akiweka saini kwenye mkataba.
Geofrey Nyange 'Kaburu ' na kocha mpya wa Simba wakibadilishana mikataba.
Mwanasheria wa klabu ya Simba bwana Alan Maduhu akiweka muhuri kwenye mkataba
Jamhuri Kiwhelu 'Julio ' akiwa pamoja na kocha mpya wa Simba Patrick Liewig.
Kiwelu kapewa mkataba wa miaka mingapi?
ReplyDeleteNawapongeza Simba kwa kupata kocha mwenye cv nzuri,,cha muhimu sasa,ueledi uchukue nafasi yake,tusimkaribishe kwa kelele nyingi,baada ya miezi sita tu,tunamuona hafai..Kila mtu atekeleze wajibu wa kazi yake inavyomtaka afanye,ili mtu akikosa ahukumiwe kwa haki na akiatia apongezwe kwa haki..
ReplyDeleteAcha majungu wewe ala!
ReplyDeleteJungu liko wapi hapo sasa,we mnazi mtu asiseme ukweli? ndo maana soka la bongo haliendelei....ujinga ujinga tu...
DeleteTatizo halikuwa kocha,ishu ni siasa nyingi ktk soka.Chicco katolewa Kafara tu hawana lolote
ReplyDeleteNAmpa pole sana huyo Kocha wa Simba kwa kuja kipindi hiki kigumu sana kwake.....na huo mkatana aliopewa wa miezi 18 nadhani kwake ni mrefu mno manake hata miezi sita hatafikisha na atakuwa keshatimuliwa....Masikini Babu wa watu angejua angesaini mkataba wa wiki 18 na sio miezi 18.....
ReplyDelete