Shida ya bin adamu ni kutosema ukweli kwa sababu ya mapenzi ya timu zao. Wanasahau kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu! Hiyo video hauhitaji miwani au darubini kuona ni Penalt dhahiri!! pasi ubishi lkn kwa sababu watu hupenda kubishana bila sababu endeleeni kubishana!

kajirusha na ndio kawaida yao wachezaji wa man u
ReplyDelete@ moudy dady wa arsenal
Clear penalty!
ReplyDeleteTuache unazi wa kutoipenda Man U, hiyo ni rafu labda tu refa hakuona.
ReplyDeletethe way that picture show it seem kaekewa kisiki
ReplyDeleteJamaa alimzuia. Si unaona hata mshikaji alitaka kuanguka.
ReplyDeleteile ilikuwa penalti live lakini kwa vile refa aliamua poa.
ReplyDeleteAmeanguka kirahisi mno alikua na uwezo mkubwa wa kuendelea na mchezo
ReplyDeleteile ilikua penalt kabisa!refa katukaushia tu
ReplyDeleteShida ya bin adamu ni kutosema ukweli kwa sababu ya mapenzi ya timu zao. Wanasahau kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
ReplyDeleteHiyo video hauhitaji miwani au darubini kuona ni Penalt dhahiri!! pasi ubishi lkn kwa sababu watu hupenda kubishana bila sababu endeleeni kubishana!
Shida ya bin adamu ni kutosema ukweli kwa sababu ya mapenzi ya timu zao. Wanasahau kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
ReplyDeleteHiyo video hauhitaji miwani au darubini kuona ni Penalt dhahiri!! pasi ubishi lkn kwa sababu watu hupenda kubishana bila sababu endeleeni kubishana!
Mmmh
ReplyDeletepenalty
ReplyDelete