Search This Blog

Sunday, January 27, 2013

LIVE MATCH CENTRE: YANGA VS TANZANIA PRISONS







DK 90 za mchezo huu wa mzunguko wa pili zinamalizika kwa ushindi wa 3-1 kwa Yanga dhidi ya Tanzania Prisons.

Dk 82. Yanga imefanya mabadiliko. Ametoka Mbuyu Twite ameingia Juma Abdul.

 DK 75: Yanga 3-1 Prisons

Dk 66. Yanga imefanya mabadiliko. Ametoka Nurdin Bakari ameingia David Luhende.

DK 65: Jerryson Tegete anaipatia Yanga goli la tatu kwa kazi nzuri ya Nurdin Bakary

Dakika ya 64, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia Hamis Kiiza anatoka Didier Kavumbagu

Dk 58. Prisons imefanya mabadiliko. Ametoka Misango Magai ameingia John Matei.


Dk 56: Goooo Mbuyu Twite anaipatia Yanga bao la pili akimalizia kazi safi ya Msuva - Yanga 2-1 Prisons

Dk 53 Wachezaji wawili wa Prisons Magai na Maguri wanatibiwa baada ya kubanwa na misuli.Dakika 45 za kipindi cha pili ndio zinaanza hapa hapa uwanja wa taifa timu zote zikiwa zimelingana kwa magoli

Dk 45. HALF TIME...! Yanga 1-1 Prisons


Dk 45 Prisons inakosa bao la wazi baada ya Maguri kushindwa kufunga akiwa amebaki peke yake na kipa wa Yanga Ally Mustapha.

Dk 35: Yanga 1-1 Prisons 

Dk 30 Henry Mwalugala wa Prisons anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Msuva.

Dk 17. Gooo..,! Elias Maguri anaipatia Prisons bao la kusawazisha akimalizia pasi ya Misango Magai. Yanga 1-1 Prisons

Dk 10. Gooo..,! Jerry Tegete anaipatia Yanga bao la kwanza akimalizia krosi ya Simon Msuva. Yanga 1-0 Prisons

Dk 7 Yanga inakosa bao la wazi baada ya Didier Kavumbagu kupiga nje ya lango akiwa peke yake

Dk 2 Yanga inapata kona. Kona inapigwa lakini inakuwa haina madhara.


Mpira umeanza hapa uwanja wa taifa.

YOUNG AFRICANS: Ally Mustapha, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub Cannavaro, Kelvin Yondani, Athuman Idd Chuji, Simon Msuva, Nurdin Bakari, Didier Kavumbagu, Jerry Tegete, Haruna Niyonzima.



TANZANIA PRISONS: David Abdallah, Aziz Sibo, Henry Mwalugala, Lugano Mwangama, Jumanne Elfadhil, Nurdin Issa, Sino Augustino, Fred Chudu, Elias Maguri, Misango Magai, Jeremiah Juma

2 comments:

  1. Well done Yanga.
    Shaffi umeadvance..
    Hadi mwakani utatuwekea na players saving

    ReplyDelete
  2. Hatari sn yanga,shaffi kumbuka kujaza magoli kwa juu mf:yanga 0 vs toto 1.

    ReplyDelete