Search This Blog

Friday, January 11, 2013

CLOUDS MEDIA YATOKA SARE YA MABAO 3:3 NA GEBI PRESHA YA MAGOMENI JIJINI DSM.

  Hapa ilikuwa mapema kabla ya mchezo tukipeana majukumu ya kufanya uwanjani...
  Hapa mfumo ulikuwa ukitengenezwa na kupeana majukumu....
Anatory Kabezi,Benny Kinyaia,Mimi,Salum Muhando na Joram Nyaumba.
  Mashabiki wa Gebi Presha.....
    Kikosi cha Gebi Presha kabla ya kuanza mchezo...


   Kosi la Clouds Media....
   Kosi la Gebi Presha......
   Picha ya pamoja.......
    Kwenye mchezo huu nimefunga bao moja,mabao mengine yakiwekwa kimiani na Anatory Kabezi na yule kijana Juma Omary aliyetembea kwa miguu kutoka Morogoro mpaka Dar.

   


   Mchezo huu ulimalizika kwa timu hizi kufungana mabao 3:3

    Kiongozi na nahodha wa Gebi Presha Tanaluza Adam aliyenyanyua mkono ....huku mimi na Maestro tukijadiliana jambo...


    Pigo hili ndo lilizaa bao la pili la Clouds Media,hili bao nilifunga mwenyewe kwa guu langu la 'dhahabu'
Kocha mchezaji Ibrahi Masoud 'Maestro' akifanya analysis ya kipindi cha kwanza na nini kikafanyike kipindi cha pili wakati wa mapumziko.
  Kiungo mkabaji Joram Nyaumba ' McBeth Sibaya ' wa Clouds Tv
    Anatory Nuno Kabezi mwenye jezi namba 11 akiwa mbioni kumuona kipa wa Gebi Presha,namimi kwa mbaaaaaliiii
    Antonio Nugaz yupo makini akisikiliza....
   Salum Muhando wa Clouds Tv akimsikiliza Kocha wakati wa mapumziko...
  Wakati wa mapumziko...tukisikiliza mawaidha toka kwa kocha mchezaji Ibrahim Masoud ' Maestro '
  Hapa nilikua na uchuuuu........
MASHABIKI WA GEBI PRESHA WAKIZUNGUKA UWANJA NA VIGOMA VYAO.

5 comments:

  1. Kweli kutangulia c kufika maana mmmmmmh clouds mlikuwa mkiongoza magoli mawili ikawaje tena,au ndio ule msemo kutangulia sio kufika?maestro punguza kitambi ila unamaneno Kama kibonde jana nilimsikia kibonde aliahidi kutoa laki 3 kwa mchezaji ambaye atapiga hat trik lakini wapi balaa poleni wazee wa bata

    ReplyDelete
  2. huyo ni dauda au tembo...punguza kitambi kaka.

    ReplyDelete
  3. Kaka una mbwembwe eti guu la dhahabu!!!!ila me nakuaminia

    ReplyDelete
  4. Cloud Mbwe mbwe tu !!Check Bukta rangi tofauti

    ReplyDelete
  5. Huu uwanja haufai aisee, una mawe kama kidongo chekundu!

    ReplyDelete