Search This Blog

Wednesday, December 26, 2012

YANGA YASAJILI SHABIKI WA SIMBA IKIDUNGWA MOJA MTUNGI NA TUSKER

Aliyekuwa Shabiki Mkuu wa timu ya Simba akiwadhihaki mashabiki wa timu hiyo baada ya kutangaza kwamba kuanzia leo atakuwa anaishabikia Simba.


 Jamani mi ni Yanga Siyo Simba tena
Mchezaji wa timu ya Tusker FC ya Kenya aliyewahi kuichezea Yanga, Joseph Shikokoti mwenye jezi 18 akisalimiana na wachezaji wa Yanga kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.
Joseph Shikokoti wa TuskeR FC akipiga mpira na kichwa mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. Yanga yafungwa 1-0 kwa njia ya Penalti (PICHA ZOTE KWA HISANI YA http://amanitanzania.blogspot.com/)

13 comments:

  1. Huyo c shabiki wa mpira,anajua kwamba mpaka leo Kuna watu wanashabikia pan na african sports, ingawa zimepotea kwenye ramani ya soka,mapenzi ya klabu ni kama imani ya dini na sio kama siasa unahamahama tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. ameona bora aishabikie yanga, ili azidi kufuraisha nafsi yake

      Delete
    2. ni shabiki wa ukweli.ameona kuendelea kushabikia timu pasua kichwa waweza kufa kwa presha siku moja

      Delete
  2. alitumwa tu huyo, hatujawahi kuwa na shabiki ndondocha hata siku moja. si unamuona mtu mwenyewe kipa katoka kabisa!

    ReplyDelete
  3. Ushabiki wa mpira huwa hauhamwi,ndio maana hata timu za chini kabisa zina wapenzi wake

    ReplyDelete
  4. Hajui anachokifanya mapenzi ya mpira na timu yapo moyoni ni ngumu kuyabadili unaanzaje anzaje kushabikia au kukipenda kitu ulichokuwa unakipinga all of ur sport life,ila ok kila mtu ana uhuru wa kuabudu

    ReplyDelete
  5. anatafuta tu umaarufu huyu,shabiki wa kweli huwezi hama hata iweje hata wazo tu halipo,ni washamba washamba wa mjini tu hawa

    ReplyDelete
  6. inawezekana tu kwa mtu aliyekuwa mpenzi wa timu kwa style ya kuuliza mtu "nipende timu gani eti?"
    eg A shamba boy who heard simba/yanga less than a year... ila kwa mtu ambaye ni familiar wa football clubs from childhood what he did is absolutely impossible atall

    ReplyDelete
  7. Huyo tunamjua chizi wa ferry wala c mshabiki wa mpira! Nenda ferry utamkuta anaomba na kuwasumbua wananchi. Utashangaa Jmosi utamkuta kakaa upande wa Simba

    ReplyDelete
  8. hata dini mtu anahama........mapenzi ya mpira ni kama kabila.....huwezi hama kabila lako.....kuna mashabiki vitumbu na mashabiki......sasa sijui huyu atakuwa wapi....

    ReplyDelete
  9. hahah ebwana huyu namsoma pale pande za serengeti kigamboni best yake mallebo, hata ulaya mara arseno mara man u hana timu maalum, so usishangae kumuona yeboyebo....

    ReplyDelete
  10. Hahahahaaaaaa, ukisjaabu ya mussa utaona ya firaun.. sasa huyu ni mtu wa mpira kweli. Shaffih watu kama hawa wala ucpost ujinga wao. Huwezi hama team kama ambavyo huwezi hama kabila, kama msambaa utabaki kuwa msambaa na kama ww ni simba utabaki kuwa simba na kamwe huwezi kuwa yanga..

    ReplyDelete
  11. Hajielewi huyo kavurugwa tu huyo hana jipya mpira ni tofauti na siasa....anataka umaarufu kunuka tu huyo hawa ndo wanakuja mjini kwa mbio za mwenge na kuvamia ushabiki wa mpira mara utamuona amehaia kwenye kushabikia mdako wa akina dada

    ReplyDelete