Huu si mjadl ila kitu ambacho kipo wai kabisa kuwa TFF hawana uwezo wa fitina katika soka wao wanauweleo wa utawala tu wa kiofisi zaidi, mpira wa miguu unahitaji watu wa fitina, uhamasishaji na mwisho uzalendo kwetu bara hakuna vyote hapo zaidi ya kila mmoja kujari ubinafsi na uroho wa masirahi ya viingilio milangoni tu, angalia timu ya zanzibar na timu ya bara, zanzibar wana cheza mpira kwa moyo wa kujituma zaidi umoja uwanjani na walijikusanya kama week moja tu na kupaa pip hadi kampala ila bara tulikuwa pamoja zaidi ya week mbili lakini tumefuna nini zaidi ya aibu tu?
Zanzibar wanacheza kitimu zaidi na nguvu mpira wa halaka bara mmmm? imefika wakati wa sasa ni zamu ya zanzabar kuanda timu yetu ya taifa kwa sabab timu hii siyo ya bara tu bali ya wote.
Huu si mjadala ila kitu ambacho kipo wazi kabisa kuwa TFF hawana uwezo wa fitina katika soka wao wanauweleo wa utawala tu wa kiofisi zaidi, mpira wa miguu unahitaji watu wa fitina, uhamasishaji na mwisho uzalendo kwetu bara hakuna vyote hapo, zaidi ya kila mmoja kujali ubinafsi na uroho wa masirahi ya viingilio milangoni tu, angalia timu ya zanzibar na timu ya bara, zanzibar wana cheza mpira kwa moyo wa kujituma zaidi umoja uwanjani na walijikusanya kama week moja tu na kupaa pipa hadi kampala ila bara tulikuwa pamoja zaidi ya week mbili lakini tumefuna nini zaidi ya aibu tu?
Zanzibar wanacheza kitimu zaidi na nguvu mpira wa halaka bara mmmm? imefika wakati wa sasa ni zamu ya zanzabar kuanda timu yetu ya taifa kwa sabab timu hii siyo ya bara tu bali ya wote.
Mimi Maoni yangu Timu ya Taifa sasa wapewe ZFA waisimamie cause within short time Zanzibar Heros wameonyesha outstanding performance na Zanzibar wakipewa uanachama wa FIFA wataenda kombe la dunia wakati sisi tunag'aa macho tu.
Hili wazo ni mufilisi kabisa kwani hata hao ZFA hawaelewani kabisa.Cha msingi ni kuwasaidia ZFA wajenge umoja kati yao wawe na chama chenye nguvu kwani vipaji vya wachezaji wanavyo.Kinachotakiwa sasa ni kuijenga ZFA. Prosper Morogoro
Kuziangalia pesa zinazotumika kuijenga t.staz hailingani na mafanikio yao kabisa.zanzibar herro hawana uzamin wwt hawana friend machi wanaokotana na wameonyesha kitu. Bora zanzibar wapewe uwanachama fifa waendeleze timu yao kwa uhakika
Hata ZFA wakipewa hatuta fika tunapotaka kufika,si ZFA pekee,hata kikipewa chama cha mpira cha ZAMBIA hakitaweza,kaka kia kitu kinamaandalizi,na kila jambo pia lina wahusika wake,hakuna njia ya mkato katika kuyaendea mafanikio,ZFA ipo ndani ya Jamuhuri ya muungano,kitakacho kwamisha no mfumo uliopo ambao ulianzishwa na watu wachache kwa lengo la kujinufaisha wao,sasa mfumo huo umepata wafuasi wengi sana tena wenye nguvu,kwa hiyo ili hata hao ZFA wakisema wapewe jukumu hilo,jambo la kwanza kabiasa ni kuvunja mtandao wa urasimu na la pili kabiasa ni kuwa na mpango endelevu kwa vijana..NAYASEMA HAYA KWA SABAB HATA ZFA PIA HAWANA MAFANIKIO KTK TIMU YAO,HAWANA TOFAUTI NA TFF,KWA SABABU VOINGOZI WA TFF WANASHIRIKIANA KWAA KARIBU ZAIDI NA ZFA,NI SAWA NA KESI YA NYANI UMPELEKEE NGEDERE..
Wazo zuri kwa timu ya Taifa kusimamiwa na ZFA.Tumeona hakuna la maana waliloleta TFF pamoja na kuwa timu ina wadhamini na wanatoa mahitaji yote.Timu ikabidhiwe ZFA.
mafanikio ya zanzibar heroes hayajaletwa na ZFA..ZFA ndo watu wanaoua mpira wa Zanzibar wameshindwa kutengeneza brand yao kama federation hakuna viwanja vya kueleweka kule hata office ya uhakika hakuna..mi nadhani mafanikio ya zanzibar ni self determination from the players which us (Kili starz) miss..kwa mfano mchezo wa juzi magoli yote tulifungwa kwa uzembe wa team nzima na nahodha wao except Kapombe na Yondani..wachezaji hawakua na a need to achieve huwezi kumlaumu coach kabisa..think about it
me naona kuwa kubadilishwa badilishwa kwa timu nako kunachangia hayo yote. hebu angalia timu za mataifa mengine utaona hakuna mabadiliko sana ya wachezaji tofauti na timu yetu. kila mechi ya taifa staz utaona kuna wachezaji wengi wapya. sa hapa utawajengeaje wachezaji uwezo wa kuzoeana kimchezo na kitimu?
Huu si mjadl ila kitu ambacho kipo wai kabisa kuwa TFF hawana uwezo wa fitina katika soka wao wanauweleo wa utawala tu wa kiofisi zaidi, mpira wa miguu unahitaji watu wa fitina, uhamasishaji na mwisho uzalendo kwetu bara hakuna vyote hapo zaidi ya kila mmoja kujari ubinafsi na uroho wa masirahi ya viingilio milangoni tu, angalia timu ya zanzibar na timu ya bara, zanzibar wana cheza mpira kwa moyo wa kujituma zaidi umoja uwanjani na walijikusanya kama week moja tu na kupaa pip hadi kampala ila bara tulikuwa pamoja zaidi ya week mbili lakini tumefuna nini zaidi ya aibu tu?
ReplyDeleteZanzibar wanacheza kitimu zaidi na nguvu mpira wa halaka bara mmmm?
imefika wakati wa sasa ni zamu ya zanzabar kuanda timu yetu ya taifa kwa sabab timu hii siyo ya bara tu bali ya wote.
Huu si mjadala ila kitu ambacho kipo wazi kabisa kuwa TFF hawana uwezo wa fitina katika soka wao wanauweleo wa utawala tu wa kiofisi zaidi, mpira wa miguu unahitaji watu wa fitina, uhamasishaji na mwisho uzalendo kwetu bara hakuna vyote hapo, zaidi ya kila mmoja kujali ubinafsi na uroho wa masirahi ya viingilio milangoni tu, angalia timu ya zanzibar na timu ya bara, zanzibar wana cheza mpira kwa moyo wa kujituma zaidi umoja uwanjani na walijikusanya kama week moja tu na kupaa pipa hadi kampala ila bara tulikuwa pamoja zaidi ya week mbili lakini tumefuna nini zaidi ya aibu tu?
ReplyDeleteZanzibar wanacheza kitimu zaidi na nguvu mpira wa halaka bara mmmm?
imefika wakati wa sasa ni zamu ya zanzabar kuanda timu yetu ya taifa kwa sabab timu hii siyo ya bara tu bali ya wote.
Mimi Maoni yangu Timu ya Taifa sasa wapewe ZFA waisimamie cause within short time Zanzibar Heros wameonyesha outstanding performance na Zanzibar wakipewa uanachama wa FIFA wataenda kombe la dunia wakati sisi tunag'aa macho tu.
ReplyDeleteAhhhh
ReplyDeleteHili wazo ni mufilisi kabisa kwani hata hao ZFA hawaelewani kabisa.Cha msingi ni kuwasaidia ZFA wajenge umoja kati yao wawe na chama chenye nguvu kwani vipaji vya wachezaji wanavyo.Kinachotakiwa sasa ni kuijenga ZFA.
ReplyDeleteProsper
Morogoro
Kuziangalia pesa zinazotumika kuijenga t.staz hailingani na mafanikio yao kabisa.zanzibar herro hawana uzamin wwt hawana friend machi wanaokotana na wameonyesha kitu. Bora zanzibar wapewe uwanachama fifa waendeleze timu yao kwa uhakika
ReplyDeleteHata ZFA wakipewa hatuta fika tunapotaka kufika,si ZFA pekee,hata kikipewa chama cha mpira cha ZAMBIA hakitaweza,kaka kia kitu kinamaandalizi,na kila jambo pia lina wahusika wake,hakuna njia ya mkato katika kuyaendea mafanikio,ZFA ipo ndani ya Jamuhuri ya muungano,kitakacho kwamisha no mfumo uliopo ambao ulianzishwa na watu wachache kwa lengo la kujinufaisha wao,sasa mfumo huo umepata wafuasi wengi sana tena wenye nguvu,kwa hiyo ili hata hao ZFA wakisema wapewe jukumu hilo,jambo la kwanza kabiasa ni kuvunja mtandao wa urasimu na la pili kabiasa ni kuwa na mpango endelevu kwa vijana..NAYASEMA HAYA KWA SABAB HATA ZFA PIA HAWANA MAFANIKIO KTK TIMU YAO,HAWANA TOFAUTI NA TFF,KWA SABABU VOINGOZI WA TFF WANASHIRIKIANA KWAA KARIBU ZAIDI NA ZFA,NI SAWA NA KESI YA NYANI UMPELEKEE NGEDERE..
ReplyDeleteWazo zuri kwa timu ya Taifa kusimamiwa na ZFA.Tumeona hakuna la maana waliloleta TFF pamoja na kuwa timu ina wadhamini na wanatoa mahitaji yote.Timu ikabidhiwe ZFA.
ReplyDeletemafanikio ya zanzibar heroes hayajaletwa na ZFA..ZFA ndo watu wanaoua mpira wa Zanzibar wameshindwa kutengeneza brand yao kama federation hakuna viwanja vya kueleweka kule hata office ya uhakika hakuna..mi nadhani mafanikio ya zanzibar ni self determination from the players which us (Kili starz) miss..kwa mfano mchezo wa juzi magoli yote tulifungwa kwa uzembe wa team nzima na nahodha wao except Kapombe na Yondani..wachezaji hawakua na a need to achieve huwezi kumlaumu coach kabisa..think about it
ReplyDeleteme naona kuwa kubadilishwa badilishwa kwa timu nako kunachangia hayo yote. hebu angalia timu za mataifa mengine utaona hakuna mabadiliko sana ya wachezaji tofauti na timu yetu. kila mechi ya taifa staz utaona kuna wachezaji wengi wapya. sa hapa utawajengeaje wachezaji uwezo wa kuzoeana kimchezo na kitimu?
ReplyDeleteKaaaaaaazi kwelikweli.
ReplyDelete