Search This Blog

Saturday, December 29, 2012

MBWANA SAMATA - 'NAKIRI NIMEKOSA, SIJAKAMILIKA NAWATAKA RADHI WATANZANIA'



7 comments:

  1. AMEFANYA JAMBO MUHIMU MBWANA, KILA LA KHERI KATIKA MAFANIKIO YAKO

    ReplyDelete
  2. Alisema Paulsen wa zamani kuwa Samata hana UZALENDO tukambeza na mimi nikiwa mmoja wao, sasa leo tumejionea wenyewe kuwa alikuwa akisema kweli

    Endelea tu dogo na maisha yako huko Vongo na ikiwezekana tafuta uraia wa huko kwani hatuna haja ya kuwa na wachezaji kama nyie

    Mfikishie salamu na huyo mwenzio Ulimwengu

    ReplyDelete
  3. Hapo hakuna cha kuomba radhi wala nini, inaonyesha tu jinsi gani ujinga bado ni janga kwa watanzania. Anaridhika na mambo madogo yasiyo na maana yeyote kutokana na ubovu wa akili aliyonayo. Hili tatizo! Mtu kama huyu hana msaada wowote, kiwango si cha maana kiviile au ndio mashindano ya mbio za bata lazima bata mshindi aonekane?
    Munamuabudu Samata kwa lipi? kwani akisahaulika kabisa kunashida gani,wanaojua mpira kama Messi, Ronaldo hutockia ujinga kama huu, leo Kasamata na mpira wake wa ugoko munamuabudu. Mwacheni ndio akili imefikia mwisho hapo, akitoka mazembe atarudi tz, kwisha.

    ReplyDelete
  4. TUMSAMEHENI KWA VILE AMEKIRI KOSA HATA MUNGU MUUMBA HUSAMEHE WALIOMKOSEA ENDAPO WATATUBU DHAMBI ZAO.

    ReplyDelete
  5. kumbe kweli amekiri ujinga wake!!, sione hata haja kocha kumuita tena kwenye timu ya taifa ,wapo wengi wenye uzalendo na taifa, afu kuna wachezaji wengi wazuri sana tena zaidi ya huyo samatta.
    mi namshauri achukue uraia wa congo,

    ReplyDelete
  6. Binafsi nilisikika sana hasa pale kocha wa Zambia aliposema hana shida na wachezaji akiwaita wanakwenda mara 1, cha ajabu samatta na Ulimwengu wanagoma. Nenda kaombe msaada TFF na kwa kocha, urudi na ucheze soka la kujituma na si kujiona superstar, kwa taarifa yako ukisusiwa unaweza ku kupoteza kujiamini na mpira ukaishia hapo.

    ReplyDelete
  7. na ethiopia katupia nani vile

    ReplyDelete