Kweli Morinho ana roho ngumu.toka ametua spain hadhi yake inaporomoka kwa kasi,na inaonekana anaona haya kubwaga manyanga atakosa vijisenti, ila ukweli amepotea na hana uhakika wala matumaini ya anachokifanya madrid' amepanda roho ya ubinafsi na chuki madrid na ndicho kinachowatafuna, pia kiwango cha backa ya vilanova kinampa kiwewe haoni vizuri feature yake.....pole ze normal

ReplyDeletejacob chiwanga