Huwa nna mengi ya kuyaeleza but huwa cna pa kuelezea but thanx kwa hili.... 1. Ni kweli 2 clear penalties YANGA were denied.......ya waamuzi yanabaki chronic disease
2. Ni bahati kwa mwamuzi coz YANGA ilishinda so refferee hakutolewa macho sana la cvyo......
3. Tangu miaka 24 niliyozaliwa na kuanza kuiona Yanga,,cjawahi kuona wakicheza mpira wa burudani kama ule SO BIG UP KWAO .. AZAM WERE OUTCLASSED KABISA. AHSANTE
..to me sidhani km ni clear penati...naona kabisa mwamuzi alikuwa sahihi, na km angetoa then singekuwa soft penalties..... ..Nimejaribu kuangalia mara nyingi sana, ila kwa live match..presha ya mashabiki, kelele za wachezaji na kadhalika kwa refa asiye makini...anatoa matuta zoote zile!
That was clear penalties, the second goalkeeper kwa makusudi anamkanyaga striker tena alistahili red card kabisa huyu. but we won the game so let the critico gonjwa la marefa which are never treated in this country.
Nadhani refa alikuwa sahihi kwa asilimia 100, uki-analyse mpira kwa ushabiki ni tabu tupu, hakuna penalt hapo Mwadini na wenzako; tutambue kwamba mpira unapochezwa kuna presha nyingi, na wachezaji wanapokuwa wanakimbia kuwahi mpira kunakuwa na momentum na kugongana kupo pia, mwamuzi asingeweza kutoa penalt katika tukio la kwanza wachezaji wameangushana katika hali ya kuwahi nafasi na mshambuliaji wa Yanga alishaonyesha kupoteza balance kabla (hakuna intent) na haikuwa "goal scoring opportunity" hapo, katika tukio la pili hakuna penalt kabisa hapo! tutizame kwa makini
ahaaaa hapo ilikua clear penat maana kwa zile penetration pass aaahaaaa ni noma sema mpira wa kibongo bhana kama homa za vipindi leo wanacheza vile kesho wataboronga kupita maelezo
Huwa nna mengi ya kuyaeleza but huwa cna pa kuelezea but thanx kwa hili....
ReplyDelete1. Ni kweli 2 clear penalties YANGA were denied.......ya waamuzi yanabaki chronic disease
2. Ni bahati kwa mwamuzi coz YANGA ilishinda so refferee hakutolewa macho sana la cvyo......
3. Tangu miaka 24 niliyozaliwa na kuanza kuiona Yanga,,cjawahi kuona wakicheza mpira wa burudani kama ule SO BIG UP KWAO ..
AZAM WERE OUTCLASSED KABISA. AHSANTE
..to me sidhani km ni clear penati...naona kabisa mwamuzi alikuwa sahihi, na km angetoa then singekuwa soft penalties.....
ReplyDelete..Nimejaribu kuangalia mara nyingi sana, ila kwa live match..presha ya mashabiki, kelele za wachezaji na kadhalika kwa refa asiye makini...anatoa matuta zoote zile!
That was clear penalties, the second goalkeeper kwa makusudi anamkanyaga striker tena alistahili red card kabisa huyu. but we won the game so let the critico gonjwa la marefa which are never treated in this country.
ReplyDeleteNadhani refa alikuwa sahihi kwa asilimia 100, uki-analyse mpira kwa ushabiki ni tabu tupu, hakuna penalt hapo Mwadini na wenzako; tutambue kwamba mpira unapochezwa kuna presha nyingi, na wachezaji wanapokuwa wanakimbia kuwahi mpira kunakuwa na momentum na kugongana kupo pia, mwamuzi asingeweza kutoa penalt katika tukio la kwanza wachezaji wameangushana katika hali ya kuwahi nafasi na mshambuliaji wa Yanga alishaonyesha kupoteza balance kabla (hakuna intent) na haikuwa "goal scoring opportunity" hapo, katika tukio la pili hakuna penalt kabisa hapo! tutizame kwa makini
ReplyDeleteahaaaa hapo ilikua clear penat maana kwa zile penetration pass aaahaaaa ni noma sema mpira wa kibongo bhana kama homa za vipindi leo wanacheza vile kesho wataboronga kupita maelezo
ReplyDelete