Search This Blog

Sunday, November 11, 2012

LIVE MATCH CENTRE: COASTAL UNION 0 - 2 YANGA - FULL TIME


LIVE MATCH CENTRE

FULL TIME
 DK ya 90 -  COASTAL UNION 0 - 2 YANGA
 Dakika ya 81, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia Said Bahanunzi kuchukua nafasi ya Didier Kavumbagu
 Uwanja wa Mkwakwani umetapika mashabiki - hali ya uwanja ni shwari ingawa mwanzoni baadhi ya mashabiki wa Coastal walikuwa wakileta bugdha.
 Ametoka Atupele green ameingia Lameck Dayton kwa upande wa Coastal Union
 Dakika ya 29 kipindi cha pili zimeshapotea - Yanga wakitawala mchezo na kuwa mbele kwa mabao mawili kwa nunge.
Dakika 62: Coastal Union 0-2 Yanga, Hamis Kizza anaifungia bao la Rahisi basi baada ya beki wa Coastal Kuzembea
 Ametoka Jamal Macheranga ameingia Othamani Mani kwa upande wa Coastal Union.
 Kipindi cha pili kimeanza hapa uwanja wa Mkwakwani - Yanga wakiwa mbele kwa goli moja lilowekwa kimiani na Didier Kavumbagu
 Dakika 45 HALFTIME
Coastal Union 0-1 Yanga
 Dakika 31 - Coastal union wanakosa bao la wazi baada ya Juma jabu kupiga Kona na kumaliziwa Salembe iliopita sentimita chache mwa lango la Yanga
 Dakika ya 28, Didier Kavumbagu anaipatia Young Africans bao la kwanza
Dakika 20 - Coastal Union 0-0 Yanga
Jerry santo anachia shuti kali linalombabatiza beki wa Yanga na kuwa Kona.
 


Dakika ya 15, Coastal Union 0 - 0 Young Africans

Dakika ya 10 - Coastal Union 0-0 Yanga

 Dakika ya 5 - Milango bado migumu na timu zikicheza kwa umakikini kuepeuka kufungwa goli la mapema.

Mpira umeanza hapa uwanja wa Mkwakwani 
 

 Kikosi cha Coastal Union kinachoanza dhidi ya.Young Africas leo
1.Juma Mpongo
2.Ismail Suma
3.Juma Jabu
4.Jamal Macherenga
5.Kibacha
6.Jerry
7.Soud Mohamed
8.Razak
9.Daniel Lyanga

10.Atupele Green
11.Suleiman Selembe

Reserve

1.Chove
2.Hamis Shengo
3.Said sued
4.Abdy Banda
5.Othmani Mani
6.Lameck Dyton
7.Aziz Gilla

KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA COASTAL

1.Ally Mustapha 'Bathez'
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Kelvin Yondani
6.Nurdin Bakari
7.Haruna Niyonzima
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu

10.Hamis Kiiza
11.David Luhende

Subs:
1.Yaw Berko
2.Juma Abdul
3.Ladislaus Mbogo
4.Nizar Khalfani
5.Saimon Msuva
6.Jeryson Tegete
7.Said Bahanunzi

1 comment:

  1. Shaffih vp mbo coverage ya hii match hairidhishi kwa sie tulio mbali?

    ReplyDelete