sikuona sababu ya uhuru kundelea kuwa simba mpaka sasa ni mchezaji aliepata nafasi na mwalim alimuamini lakini mwenye alikuwa hajijui umuhimu wake naamini machaku alikuwa bora kuliko uhuru ila tu machaku siasa za mpira wa tanzania ndo zilimuondoa simba kuliko huyu kazi bure anaeenda azam. wana wakati mgumu sana azam kungangania haya makapi wakati kuna vijana wapo wanaweza kuwa bora zaidi ya haya makapi. azam nao ni wale wale tuliamini wangekuwa mfano wa mpira wetu ila nao wameshaingia kwenye siasa za kulwa na dotto
bab chico acha majungu mjinga wewe angekuwa ni kazi ya bure asingetoka simba kwenda azam uliza sababu ya azam kumuhitaji sio unaropoka tu tatizo nyinyi mashabiki wa tanzania mnajua kuropoka tu ndio maana vurugu katika team zetu haziishi kwasababu mnapenda sana majungu,ndugu yangu uhuru mimi naipenda sana sana na nakutakia kila la kheri katika team yako mpya ya azam fanya kazi kaka uwafunge midomo watu wa aina hii wanaojua kuangalia tu mpira sio kuusoma na wala sishangai watu kama kina bab chico ndio aina ya wale watanzania tunaowaita waendesha magari wengi ila madereva wachache
BAB CHICO UMEONGEA BONGE LA POINT UHURU KIUKWELI ALIKUWA MZURI SN KABLA YA KUHUMIA SS IV KIWANGO KIMEPUNGUA NA MACHAKU TATIZO LAKE NI ULEVI MPK KUPINDUKIA
Watu mnakuwa wajinga wajinga tu unachoandika na fikra zako @ Bab chico hakina kichwa wala miguu, uhuru bado ni mzuri anachopaswa ni kuongeza mazoezi maana bado anahisi uoga kutokana na goti. Unapomwita mtu makapi kwani amekulazimisha umpende!!!!!!? wewe ukiona ni makapi usitake kuiweka public kumchafua mtu. Acha ujinga na upuuzi huo bwana uwe mstaarabu yeye bado ni kijana anajitafutia maisha, na azam wana watu wanaojua mpira ndo maana wakamhitaji
sikuona sababu ya uhuru kundelea kuwa simba mpaka sasa ni mchezaji aliepata nafasi na mwalim alimuamini lakini mwenye alikuwa hajijui umuhimu wake naamini machaku alikuwa bora kuliko uhuru ila tu machaku siasa za mpira wa tanzania ndo zilimuondoa simba kuliko huyu kazi bure anaeenda azam. wana wakati mgumu sana azam kungangania haya makapi wakati kuna vijana wapo wanaweza kuwa bora zaidi ya haya makapi. azam nao ni wale wale tuliamini wangekuwa mfano wa mpira wetu ila nao wameshaingia kwenye siasa za kulwa na dotto
ReplyDeletebab chico acha majungu mjinga wewe angekuwa ni kazi ya bure asingetoka simba kwenda azam uliza sababu ya azam kumuhitaji sio unaropoka tu tatizo nyinyi mashabiki wa tanzania mnajua kuropoka tu ndio maana vurugu katika team zetu haziishi kwasababu mnapenda sana majungu,ndugu yangu uhuru mimi naipenda sana sana na nakutakia kila la kheri katika team yako mpya ya azam fanya kazi kaka uwafunge midomo watu wa aina hii wanaojua kuangalia tu mpira sio kuusoma na wala sishangai watu kama kina bab chico ndio aina ya wale watanzania tunaowaita waendesha magari wengi ila madereva wachache
ReplyDeletehakuna kitu na hakuna alichofuata ni pesa1
ReplyDeletekwani jamani anataka maisha mazuri alitoka kwenye maumivu sasa bora akwende azam
ReplyDeleteBAB CHICO UMEONGEA BONGE LA POINT UHURU KIUKWELI ALIKUWA MZURI SN KABLA YA KUHUMIA SS IV KIWANGO KIMEPUNGUA NA MACHAKU TATIZO LAKE NI ULEVI MPK KUPINDUKIA
ReplyDeleteKILA LA HERI UENDAPO
ReplyDeleteWatu mnakuwa wajinga wajinga tu unachoandika na fikra zako @ Bab chico hakina kichwa wala miguu, uhuru bado ni mzuri anachopaswa ni kuongeza mazoezi maana bado anahisi uoga kutokana na goti. Unapomwita mtu makapi kwani amekulazimisha umpende!!!!!!? wewe ukiona ni makapi usitake kuiweka public kumchafua mtu. Acha ujinga na upuuzi huo bwana uwe mstaarabu yeye bado ni kijana anajitafutia maisha, na azam wana watu wanaojua mpira ndo maana wakamhitaji
ReplyDelete