Katika hatua nyingine kwenye karatasi ya orodha ya wajina kwa upande wa simba karatasi hiyo ilikuwa na mapunguvu baada ya sehemu ya kipa kutojazwa jina hali ambayo ilizungu utata mkubwa kwa baadhi ya waandishi waliopewa karatasi hizo.
Kufuatia hali hiyo wanahabari hao walimvaa msemaji wa simba ambaye aliandsika kwa karamu jina la Juma Kaseja na kumpa kiongozi mmoja wa timu hiyo ambaye alimfuata Kaseja aliyekuwa akifanya mazoezi mepesi kabla ya mchezo huo kuanza na kumsainisha. Pichani ni orodha hiyo ya majira ambayo mwandishi wa habari hii alikabidhiwa kabla ya mchezo kuanza
No comments:
Post a Comment