Beki wa Yanga, Mbuyi Twite akimpongeza Nadir
Haroub ‘Canavaro’ baada ya kufungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Mgambo ya
Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 3-0.(PICHA NA http://francisdande.blogspot.com/)
Mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva akimpongeza Nadir Haroub baada ya kufunga bao la kwanza
Didier Kavumbagu na Ramadhan Malima wa Mgambo kwenye mchezo wakichuana katika mchezo huo.
Pole sana kaka naona hata jana hakukuwa na 'feasibility study' pale Redio ya Watu mpaka Karunguyeye ashinde?teheteheeeeee hapo ndo pabaya kuchanganya kazi na unazi.kwikwiki
ReplyDeleteKWA MAHESABU YANGU INAONEKANA KUWA SIMBA NA YANGA ZINALINGANA KWA GD AMBAZO GD 12 KILA MOJA KWA HIYO YANGA INA MAGOLI YA KUFUNGA 21 WAKATI SIMBA INA MAGOLI YA KUFUNGA 20. SIMBA IMEFUNGWA GOLI 8 WAKATI YANGA IMEFUNGWA GOLI 9. KILA TIMU IMECHEZA MECHI 11. HITIMISHO YANGA INAONGOZA LIGI KWA TOFAUTI YA GOLI 1 NA SIMBA. HABARI NDIYO KAMA NIMEKOSEA WADAU NISAIDIENI. ASALAM EL KHUM

ReplyDelete