Kaka unajua mwenyewe wanasema hapa bongo kuna nini vile mnasema,,,,fitnasoka au bongo fitina nao huko nazani hii kitu iko kwani Suarez wamemuandama mno eeeh na jana akawaonyesha huwa anajiangushaje baada ya kusababisha goli la kwanza na kushangilia kwenye touchline ya everton na hilo la Man U tunajua,,,,,kwanini iwe nyie tu kwenye big match mnalalamikiwa ????????? kuna nini hapo
Jamani nashangaa sana wabongo tulivyowaongo hata replay mara zote hizi hamuoni hata kidogo? Tukianza na Gemu ya Liverpool angalia wakati huyu jamaa anapanda kupiga kichwa kumpasia Suarez ameruka akiwa mbele ya defender na wakati anapiga kichwa tayari defender wameishakuwa sambamba Offside inakuwa pale mpigaji anapoachia mpira hivyo ukitazama kwa makini Suarez siyo offside ila aliyempa pasi ndo amepokea mpira akiwa offside. Kwa upande wa Chicharito hakuna offside yoyote kilichotokea na kuwachanganya watu ni ile speed aliyokuwa nayo kutoka kwenye nyavu na kuwahi cross ya Rafa anapiga huku David Luiz akiwa chini nyuma cheki vizuri. Hizi picha. Tuache ushabiki.
Speed ya Chicharito imefanya Goli lionekane sawa pia inachangia na Game iliyopita Mshika kibendera kaogopa isije kutokea kama game iliyopita akajikuta kumbe ndio kaharibu hiyo ndio football tukubaliane yashapita Mdau wa LFC, Pazi
GOLI LA SUAREZ HALINA UTATA HATA KIDOGO NA MSHIKA KIBENDERA HAJAKOSEA ILA ALIKUSUDIA KUKATAA LILE GOLI ILI KUENDELEZA DHULMA YA WAAMUZI KWA LIVERPOOL MWAKA HUU
GOLI la CHICHARITO ni halali kwanini nasema ni halali, wakati mpira bado hujapigwa kuelekea golini mwa chelsea na RAFAEL, chicharito alikuwa yupo offside, SASA WAKATI RAFAEL anajiandaa kupiga kuelekea golini chicharito tayari alikuwa mjanja na faster kurudi nyuma ya wenzake amini akiwa sambamba na mabeki wa chelsea na ndipo mpira ukamkuta na kuugonga maridhawa, kwa upand wa SUAREZ kwa maoni yangu hapo hakuna utata kabisa sio ama hakuna offside, ila kwa chicharito kuna utata kiasi fulani mpaka ufuatilie sana na pia yampasa m2 aujue mpira haswaaaa ndo anaweza kubaini kuwa goli lake ni safi na sio offside
Hilo goli la Suarez halihitaji hata replay ni goli zuri kabisa.Mwaka huu Liverpool ina kazi kweli hata goli la pili mpira wa kurusha ulitakiwa uende kwa Everton ukarushwa upande wa Liverpool. Chicharito kaotea tazameni mstari uliochorwa huo!
kaka alawi simba sizani kama unaujua mpira mana wanaoujua mpira wote wanakubaliana kama chicharito alizidi,goli lile ni offside period. kitu kimoja ambacho kinaweza kumtetea muamuzi wa pembeni ni kuwa tukio lile lilitokea kwa haraka sana so mwisho wa siku lazima ukubali ni mambo ya mpira kama ambavyo mchezaji anaweza kukosa gori la wazi na hivo hivo mwamuzi anaweza fanya makosa
Kaka unajua mwenyewe wanasema hapa bongo kuna nini vile mnasema,,,,fitnasoka au bongo fitina nao huko nazani hii kitu iko kwani Suarez wamemuandama mno eeeh na jana akawaonyesha huwa anajiangushaje baada ya kusababisha goli la kwanza na kushangilia kwenye touchline ya everton na hilo la Man U tunajua,,,,,kwanini iwe nyie tu kwenye big match mnalalamikiwa ????????? kuna nini hapo
ReplyDeleteJamani nashangaa sana wabongo tulivyowaongo hata replay mara zote hizi hamuoni hata kidogo? Tukianza na Gemu ya Liverpool angalia wakati huyu jamaa anapanda kupiga kichwa kumpasia Suarez ameruka akiwa mbele ya defender na wakati anapiga kichwa tayari defender wameishakuwa sambamba Offside inakuwa pale mpigaji anapoachia mpira hivyo ukitazama kwa makini Suarez siyo offside ila aliyempa pasi ndo amepokea mpira akiwa offside. Kwa upande wa Chicharito hakuna offside yoyote kilichotokea na kuwachanganya watu ni ile speed aliyokuwa nayo kutoka kwenye nyavu na kuwahi cross ya Rafa anapiga huku David Luiz akiwa chini nyuma cheki vizuri. Hizi picha. Tuache ushabiki.
DeleteSpeed ya Chicharito imefanya Goli lionekane sawa pia inachangia na Game iliyopita Mshika kibendera kaogopa isije kutokea kama game iliyopita akajikuta kumbe ndio kaharibu hiyo ndio football tukubaliane yashapita Mdau wa LFC, Pazi
ReplyDeleteGoli la Suarez lilikuwa la halali na la Chicharito halikuwa la halali ushahidi wa replay unaonyesha kabisa
ReplyDeleteGOLI LA SUAREZ HALINA UTATA HATA KIDOGO NA MSHIKA KIBENDERA HAJAKOSEA ILA ALIKUSUDIA KUKATAA LILE GOLI ILI KUENDELEZA DHULMA YA WAAMUZI KWA LIVERPOOL MWAKA HUU
ReplyDeleteGOLI la CHICHARITO ni halali kwanini nasema ni halali, wakati mpira bado hujapigwa kuelekea golini mwa chelsea na RAFAEL, chicharito alikuwa yupo offside, SASA WAKATI RAFAEL anajiandaa kupiga kuelekea golini chicharito tayari alikuwa mjanja na faster kurudi nyuma ya wenzake amini akiwa sambamba na mabeki wa chelsea na ndipo mpira ukamkuta na kuugonga maridhawa, kwa upand wa SUAREZ kwa maoni yangu hapo hakuna utata kabisa sio ama hakuna offside, ila kwa chicharito kuna utata kiasi fulani mpaka ufuatilie sana na pia yampasa m2 aujue mpira haswaaaa ndo anaweza kubaini kuwa goli lake ni safi na sio offside
ReplyDeleteHilo goli la Suarez halihitaji hata replay ni goli zuri kabisa.Mwaka huu Liverpool ina kazi kweli hata goli la pili mpira wa kurusha ulitakiwa uende kwa Everton ukarushwa upande wa Liverpool. Chicharito kaotea tazameni mstari uliochorwa huo!
ReplyDeletekaka alawi simba sizani kama unaujua mpira mana wanaoujua mpira wote wanakubaliana kama chicharito alizidi,goli lile ni offside period. kitu kimoja ambacho kinaweza kumtetea muamuzi wa pembeni ni kuwa tukio lile lilitokea kwa haraka sana so mwisho wa siku lazima ukubali ni mambo ya mpira kama ambavyo mchezaji anaweza kukosa gori la wazi na hivo hivo mwamuzi anaweza fanya makosa
ReplyDeletegoli la suarez halikuwa halali si kwasababu ilikuwa offside ila coates alikosea kwa kumpandia beki wa everton jagielka nadhani mabegan hivyo si halali
ReplyDeleteTunaomba comparison kati ya Goli la Chicharito na la Arteta la jumamosi maelezo yatanyoka vizuri....
ReplyDeleteAnyway unajua refarii nae ni binadamu kwa hiyo mistake za hapa na pale haziepukiki,lakini kwa mtazamo wangu nadhani magoli yote yalikuwa sahihi.
ReplyDelete