Search This Blog

Saturday, October 20, 2012

LIVE MATCH CENTRE: YANGA 3 - 2 RUVU SHOOTING (FULL TIME)//// COASTAL 3 - 1(FULL TIME) MTIBWA


FULL TIME 

DK 85: Yanga 3 - 2 Ruvu Shooting

 Dakika ya 77, Young Africans inafanya mnabadiliko, anaingia Juma Seif Kijiko kuchukua nafasi ya Juma Abdul aliyeumia

 Dakika ya 72, Young Africans inafanya mabadiliko, anaingia Hamis Kiiza anatoka Jeryson Tegete

 DK 67: Didier Kavumbangu anaipatia Yanga goli la 3.

Dakika ya 60, Young Africans 2 - 2 Ruvu Shooting.
DK 50: Ruvu wanafanya mabadiliko anatoka Raphael Kyala anaingia Mangasini Mangasini, pia anatoka George Otei anaingia Ayoub Kitala.

 DK 48: Yanga inapata faulo nje kidogo ya eneo la hatari Niyonzima anapiga na inaokolewa.

 Kipindi cha pili cha mchezo,
Young Africans 2 - 2 Ruvu Shooting


 Half Time: Yanga 2 - 2 Ruvu Shoot

Dakika ya 35, Jeryson Tegete anaipatia Young Africans bao la pili - Young Africans 2 - 2 Ruvu Shooting

 Dakika ya 30, Young Africans 1 - 2 Ruvu Shooting
Dakika ya 20, Mbuyu Twite anaipatia Young Africans bao la kwanza

 Dakika ya 15, Young Africans 0 - 2 Ruvu Shooting


Dakika ya 9, Seif Abdallah anaipatia Ruvu Shooting bao la pili.
 
Dakika ya 2, Seif Abdallah anaipatia Ruvu Shooting bao la kwanza.
 
Mpira ndio umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya
Young Africans Vs Ruvu Shooting


Hiki ndio kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Ruvu Shooting katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam


1. Yaw Berko
2. Juma Abdul
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub 'Cannavaro'
5. Mbuyu Twite
6. Nurdin Bakari
7. Rashid Gumbo
8. Haruna Niyonzima
9. Didier Kavumbagu
10. Jeryson Tegete
11. David Luhende

Subs:
1. Ally Mustapha 'Barthez'
2. Ladislaus Mbogo
3. Athuman Idd 'Chuji'
4. Juma Seif 'Kijiko'
5. Shamte Ally
6. Nizar Khalfan
7.Hamis Kiiza

Kutoka Mkwakwani Tanga hiki ndio kikosi cha Coastal Union kinachoanza dhidi ya Mtibwa.


 Kutoka Mkwakwani Juma Jabu anapa uongozi Coastal Union katika dk ya 9.
 
DK 25: Coastal 1 - 0 Mtibwa.
DK 38: Danny Lyanga anaipatia Coastal goli la pili. 

DK 40: Salum Sued anafunga bao kwa upande wa Mtibwa.

 Coastal 2-1 mtibwa HALF TIME

 Mpira umeanza kipindi cha 2.

DK 60: Coastal union 2 Mtibwa 1

DK 70: Coastal union 2 Mtibwa 1

Lameck Dyaton anaipa Coastal bao la 3 kutokana na pasi ya Danny Lyanga. Coastal 3 - 1 Mtibwa. 

DK 90: Coastal Union 3 - 1 Mtibwa 
 

3 comments:

  1. Mbona vikosi vya timu nyingine huwa havitajwi? Ruvu Shooting wako wapi? Kila siku Yanga na Simba tuu! Inaboa man.

    ReplyDelete
  2. Hao nao si wachambuzi wa timu mbili tu? afu wanazuga kutuletea matokeo ya mechi mbili, huku kwa mechi hizo kuna timu nne zimeshiriki. Kwanini basi hata msitaje kikosi kimoja kwenye mechi ya Coastal na Mtibwa? Kama hamna uhakika hata kummuliza edo kumwembe awatajie mmeshindwa?.SHAME ON YOUU!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Nimeamini kuna watu wana chuki binafsi, ila huyu si shabiki ila ni mtu ambaye hapendi kuiona blog ya shaffih ikiendelea ni chuki tu imetawala acha jazba toa hoja!

    ReplyDelete