Lost another three points,disappointed...feel so sorry for my friend NSA JOB we are praying for u mate...
Alhamdulillah ule wasiwasi tuliokuwa nao
mwanzo baada ya Nsa Job kuumia sasa niseme
umepungua kwani baada ya kumfikisha
hospital na kupigwa X-ray ilionekana tatizo ni
dislocation of joint na madoctor wameweza
fanya kazi ya ziada kulirudisha goti lake ktk sehemu yake na ameshafungwa POP, na hivi
sasa amerudi kulala hotelini na wenzake. Insha Allah apone haraka aje kutimiza malengo
aliyojiwekea " Nassor bin slum "
Juma Jabu
pole sn tupo pamoja nawe tukikuombea uweze kupona haraka mwana tumeumia sn kwa tukio
lililokukuta pole jembe langu,mungu atakusaidia utapona haraka

No comments:
Post a Comment