Search This Blog

Tuesday, October 9, 2012

ENGLAND WAZINDUA KITUO CHA ST.GEORGE PARK CHENYE THAMANI YA £100 MILLION


Mjukuu wa Malkia wa Uingereza Prince William na mkewe Kate wakizindua kituo cha St.George Park





Frank Lampard akitaniana na Duchess of Cambridge - mke wa Prince William ambaye ni Raisi wa FA.

Raisi wa FA Prince William akizungumza na wachezaji wa England

Game for a laugh: Wayne Rooney jokes with England coach Gary Neville
Wayne Rooney akifurahia jambo na kocha wake msaidizi Gary Neville

Prince William akimtania Ashley Cole - Mchezaji ambaye juzi aliwatolea maneno machafu chama cha soka cha FA ambacho mjukuu huyo wa Malkia ndio Raisi.

Wachezaji wa England wakiwa kwenye Jaccuzi wakipumzika baada ya mazoezi

Kituo cha ST.George Park kilivyo

St.George Park

Hostel za kituo cha St.George Park

Uwanja wa ndani wa soka uliopo ndani ya kituo cha St.George Park

1 comment:

  1. HAPO NDIO UTAJUA JINSI WENZETU WALIVYO SERIOUS NA SOKA ... SISI TULIJARIBU PALE KARUME NA TSA LKN AMSKINI YA MUNGU SIJUI KIMEISHIA WAPI... KILICHOBAKI NI SIASA TU ZA KUINGIA TFF...

    ReplyDelete