- Wapenzi wa kinywaji kikali
cha Smirnoff wakijiachia kwa raha zote katika hafla ya usiku wa Smirnoff
uliondaliwa na Kampuni ya bia ya Serengeti katika ufukwe wa Mbalamwezi
usiku wa Jumamosi, katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweries
Ltd Bw. Ephraim Mafuru, kushoto kwake ni Meneja wa Vinywaji vikali
Emmilian Rwejuna, mwenye miwani.
|
No comments:
Post a Comment