Search This Blog

Monday, September 24, 2012

MJADALA: JE HII ILIKUWA KADI NYEKUNDU SAHIHI?

8015368309 37ab580c42 o GIF: Jonjo Shelveys brutal tackle on Jonny Evans (Liverpool v Manchester United)

10 comments:

  1. bila kuangalia ushabiki hii ni faulo ya kipumbav aliocheza shelvey na kilichomponza ni ile kuinua mguu wake refa hakua na uamuzi mwingine ila ile kadi ya vanpersie kidogo mtihani refa alijisahau

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio sahihi kwasababu wate walikuwa wanantetion ya kuwin mpira na kama ukifatualia move ya tukio utagundua mchezaji wa liverpool ndiye aliyegusa mpira na sio man u, tusiwe vipofu kwa mapenzi ya timu.na mm kiukweli i hate man kwasababu ya mbeleko that it.

      Delete
    2. salnaldo, i thnk hukuangalia tukio vizuri, both went tackling, the big dfference is shelvey alienda na mguu mmoja then mmoja akakunja but evans kaenda na yote miwili & shelvey won the ball cz aliuguza, finally red card to Shelvey, nothing to evans

      Delete
  2. wewe sikia we ndo unaleta shabiki coz mguu wa kwanza kugusa mpira ulikuwa wa shelvey halafu wa evans na pia hiyo ni kwaida yake kucheza hivyo evans kama mfuatiliaji mzuri utakuwa unajua hilo halafu kadi iliyo stahili redcard staright ni ile ya RVP, tusilete ushabiki kwenye hili man ni wazee wa mbeleko.

    ReplyDelete
  3. Hii haikuwa red, na wala hakuna kiashiria cha kuiita faulo ya kipumbavu,, ukiangalia kwa makin utaona lengo la Shelvey ilikuwa kuucheza mpira na bla shaka aliugusa, naona ilikuwa 50/50, sema tu reffaree alishawishika na Evance kulia maumivu!!

    ReplyDelete
  4. INGIENI LINK HII MUONE UKWELI ULIVYOKUWA
    http://www.facebook.com/photo.php?fbid=473499289349405&set=a.159157800783557.33689.100000680138175&type=1&theater

    ReplyDelete
  5. Jamani wote mnaonyesha hamuipendi mani hivyo hamuwezi kutoa maoni yenye usawa kwani mnaegemea upande fulani.

    ReplyDelete
  6. msikie Steve Gerard, "I feel for Jonjo a bit. It's a big game and these games are about big tackles," Gerrard added. "I don't think he got the tackle wrong. If his tackle is wrong, then Evans' tackle is wrong as well. That's the consistency we're looking for from referees and Mark Halsey got that one wrong. By Chigu

    ReplyDelete
  7. Kitu kikubwa tusifanye ushabiki eleweni kwanini alipata red card
    1.Shelvey alifanya faulo ya kwanza kwa Giggs refa akafanya fair play

    2.Akaona haitoshi na mpira upo mbali akaulukia tena ilihali tayari evans kafika so refarii alitaka iwe fair play kutoka kwa faulo ya giggs bt jamaa akarudia tena faulo nyingine

    3.So two faulo at the same tym to differnt player=Red card

    ReplyDelete
  8. "So two faulo at the same tym to differnt player=Red card" hiyo ni sheria ya ngapi ktk sheria za soka za FIFA?

    ReplyDelete