Amir Mafta anakula kadi nyekundu hapa kwa maana hiyo ataukosa mchezo dhidi ya Yanga.
DK 75: Simba bado wanaongoza katika kipindi hiki cha pili.
DK 68: Simba 2 - 1 Tanzania Prisons
DK 55: Mrisho anaingia kwenye box na kupiga shuti kali linalompita kipa wa Prisons na kutinga nyavuni na kuandikia Simba bao la pili.
Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi sana, Mrisho Ngassa anaingia vizuri kwenye winga ya kulia, anapiga krosi safi na Sunzu anakosa bao la wazi.
Mpira ni mapumziko - Simba 1 - 1 Prisons
DK 45+1: Mrisho Ngassa anawapiga vyenga mabeki wa Prisons na kuachia shuti kali linalotoka nje kwa sentimita chache.
DK 45: Felix Sunzu anaipatia Simba bao la kusawazisha.
DK 35: Edward Christopher anaingia vizuri kwenye lango la Prisons, lakini anaingiliana na Sunzu na mabeki wa Prisons wanaokoa mpira langoni mwao.
DK 30: Simba wanalishambulia sana lango la Prisons wakitafuta bao la kusawazisha.
DK 20: Simba 0 - 1 Tanzania Prisons

SIMBA vs TANZANIA PRISONS LINE UPS
Timu
za Simba na Tanzania Prisons zinapambana jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar
es Salaam kuanzia saa 11 kamili jioni. Tayari makocha wa timu zote
mbili Jumanne Charles (Tanzania Prisons) na Circo Milovan (Simba)
wameshataja vikosi vyao.
Simba: Tanzania Prisons:
01.Juma Kaseja (c) 18.David Abdallah
02.Nassoro Masoud 03.Aziz Sibo
17.Amir Maftah 05.Laurian Mpalile
15.Shomari Kapombe 16.Lugano Mwangama (c)
24.Juma Nyoso 15.David Mwantika
14.Mwinyi Kazimoto 13.Khalid Fupi
28.Amri Kiemba 07.Misango Magai
08.Ramadhan Chombo 12.Fred Chudu
19.Edward Christopher 14.Elias Maguri
10.Felix Sunzu 17.Peter Michael
16.Mrisho Ngasa 19.John Matei
Wachezaji wa akiba;
22.Wilbert Mweta 01.Daudi Mwasongwe
23.Paul Ngalema 04.Jumanne Elfadhili
20.Jonas Mkude 09.Sino Augustino
12.Salim Kinje 22. Julius Kwaga
04.Komanbil Keita 08.Henry Mwalugala
13.Daniel Akuffor 11.Hamisi Ally
05.Pascal Ochieng 23.Jeremiah Juma
Refa: Paul Soleji (Mwanza)
Mwamuzi Msaidizi 1: Jesse Erasmo (Morogoro)
Mwamuzi Msaidizi 2: Mwarabu Mumba (Morogoro)
Mwamuzi wa Akiba: Israel Nkongo (Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment