Kelvin Yondan ana mkataba ambao umesajiliwa na TFF ambao amesaini na Yanga May Mwaka huu,ule mkataba ambao Simba wamemsainisha walikubaliana pale DDC-Kariakoo pale wanapouza Kibuku dec mwaka wa jana baada ya hapo Rage na wenzake wakaenda kufungia yale makaratasi kwenye moja ya store kwenye gofu lao pale Mtaa wa Msimbazi SASA kwa mujibu wa kanuni za FIFA na TFF mkataba unakuwa valid pale unaposajiliwa kwenye Chama Cha Mpira wa nchi husika ndio maana kamati ya sheria,katiba,madaraka na hadhi za wachezaji kwa kutumia kanuni wamempeleka Yondan Yanga,Sasa Kuna mijitu bado inajifanya haielewi tena mbaya zaidi wanaobisha wana degree za sheria hapa lazima ujiulize walizipatapataje??Mimi binafsi sihitaji kuwa Mabere Marando kuelewa vitu vyepesi namna hii,UMBUMBUMBU wa sheria na kanuni wa viongozi wa simba ndio unawacost wapenzi na mashabiki wa Simba,msitafute mchawi popote nendeni mkawahoji akina Rage.
Uharo! Umesoma wapi ww? Sheria unaijua au umehadithiwa? Unamaanisha mchezaji akisaini mkataba halafu kama haujapelekwa tff unakuwa invalid?? Contract is a contract n 'll always be a contract mpaka pande mbili ziuvunje. Sasa nakuuliza if Yondani alitakiwa aende Yanga kipi kilishindikana mwanzoni mpaka huyo mgongolwa akawataka Simba n Yanga wakae wayamalize? N suala la kura je? Kama hujui k2 piga kimya.
ReplyDeleteHuyu Mdau ana akili. na hivi ndivyo alivyoweza kuzitumia akili zake. Hivi ndivyo anavyoweza kufikiria kwa akiwa kamaliza upeo wake wa kufikiri. Big up Prosper.
ReplyDeletekungekua kuna sehemu wanakouza akili wewe mbweha ungepelekwa! shelia unajua wewe? what is a contract, mimi ni mwanachama wa yanga lakini sijui kama yanga ina mambumbu kama wewe. usituabishe anaejua sheria hajitangazi kama wewe koma
ReplyDeleteYondani alikuwa huru Novemba 2011 alipobakiza mkataba wake na Simba miezi sita. Ni kweli kwa kumbukumbu za TFF Yondani alikuwa huru. Lakini Yondani alijua ameshasaini mkataba na Simba tayari, hivyo alipaswa kuwaambia Yanga kwamba ameshasaini mkataba na Simba kama alivyofanya Kaseja mwaka ule japo mkataba wa Kaseja haukua TFF.
ReplyDeleteLAKINI JAMBO LA AJABU LA KUJIULIZA NI HILI: HIVI MCHEZAJI ANAPOKUWA HURU KWANI HAWEZI AKASAINI NA KLABU YAKE YA ZAMANI? JE MKATABA MPYA HAUTAMBULIKI KWA KLABU ALIYOKUWA ANACHEZEA MCHEZAJI?
NATAKA PROSPER NA MGONGOLWA WANIAMBIE KWAMBA MCHEZAJI ANAPOKUWA HURU BASI NI MARUFUKU KUSAINI TENA MKATABA NA KLABU YAKE YA ZAMANI!!!!!!
WAKATI WANAMRUHUSU ACHEZE KAGAME WALISEMA MKATABA WAKE NA SIMBA UNA MAKOSA NA BATILI KWA SABABU UNAONYESHA UMESAINIWA DECEMBER 2012!BAADA YA SIMBA KUUREKEBISHA KISHERIA KUONYESHA KUWA ILIKUWA NI TYPING ERROR, WAMEBADILISHA MANENO!!!!
MGONGOLWA KWA KUTOMCHUKULIA HATUA MCHEZAJI ANALETA PRECEDENCE MBAYA SANA YA DOUBLE REGISTRATION KWA WACHEZAJI!! MAANA YAKE NI KUWA MCHEZAJI AKISHAKUWA HURU ANAWEZA AKA-SIGN KWA KLABU ZAIDI YA MOJA WAKATI WA USAJILI NA MWISHO WA SIKU AKACHAGUA KLABU YA KUCHEZEA NA KUKANA KWAMBA HAKUSAINI POPOTE KWA KLABU YAKE YA ZAMANI AU MPYA!
YONDANI HUYU HUYU WAKATI ANAOTOKA IVORY COAST NA TIMU YA TAIFA WAKATI UVUMI WA KU-SIGN YANGA UMEZAGAA NILIMSIKIA AKIHOJIWA NA KITUO CHA REDIO AKIKANA KU-SIGN YANGA NA KWAMBA AME-SIGN SIMBA. KESHO YAKE YANGA WAKATOA MKATABA WAKE KWENYE MTANDAO ULIONYESHA ANA MIAKA 17!!WATU WOTE WAKACHEKA! YANGA WAKAGUNDUA MAKOSA YA MKATABA WAKAENDA NATIONAL TIME USIKU WAKAMTOROSHA NA AKAONEKANA ANA-SIGN MKATABA MPYA NA PESA JUU YA MEZA!!!BAADA YA HAPO AKAANZA KUIKANA SIMBA!!!HUYU NI MCHEZAJI MHUNI!!!BADALA YA KUADHIBIWA ANATOKA SHUJAA!!!THIS CAN ONLY HAPPEN IN TANZANIA!!!
MGONGOLWA UMETIA AIBU SANA!!!!! NILIKUWA NAKUHESHIMU KUANZIA LEO NIMEKUWEKA KUNDI MOJA NA KINA ANGETILE (KATIBU MKUU ANAYEBISHANA BAA KWA AJILI YA YANGA BILA KUJALI NAFASI YAKE)
Shaffie naomba hii upost kama habari kama ilivyokuwa kwa Prosper ili watu wengi waisome, ikibidi peleka hata mwanaspoti na clouds tv
Kwa hiyo wewe unataka kuifanya Clouds TV kuwa ni shabiki wa Simba kaka wewe! NO BIG NO hiyo ni TV ya watu! Ushabiki wako kwako mwenyewe uisiingizi TV yetu kuvunja maadili. Heshimu wanataaluma na jaribu kusoma acha uvivu! Sheria iko wazi tu kwa nini hawakupeleka mkataba TFF baada ya kuusign?
Delete**Nyie Simba Rage anawatia gizani kwasababu yeye mbumbumbu na anawaongoza majuha, so kazi ni kwenu**
ReplyDeleteJamani tutofautishe upenzi/ushabiki wa timu na mambo ya msingi......huyu mwenzetu (Prosper) sidhani kama ana akili timamu na pia sidhani kama anayo hata hadhi ya ku argue naye sababu hana upeo.......wa chochote....Anachoweza zaidi yeye ni ubishi wa kijiweni...Mi nadhani sina hata muda wa kubishana naye wala kumuelewesha chochote....,MPUUZI
ReplyDeletehii ni kwa faida yenu mjue nn?? shaffih aliona ni kichekesho cha mwaka hicho alicho andika prosper so akaona si vema kucheka pekeyake na ndiomaana amemuweka peupe ili watu wamuone huyo mwenye elimu teh teh, hakuna mwaka ambao simba wanaweza kuhangaika kwaajili ya MABEKI HII NI HISTORYCAL na simba haijawahi kutegemea beki toka nje ya nchi, isipokuwa ni kuzalisha na kusaka vipaji kwakuwa simba kuna watu wa mpira ambao wali mleta huyo yondani wakamfanya ajulikane kuwa yupo chini ya mwal: dos-santos mwaka 2005 so tumemtumia vya kutosha isipokuwa hapa kinacho lalamikiwa ni huyo/na hao mambumbu wanaomuhidhinisha mchezaji aliye sign club mbili achezee club nyingine tena kwa kupigiwa kura mara2 mbili, hakika laana itaendelea kuwala hawa na kwa kuamini maneno yangu ikowapi ile team yao ya u20 iliyocheza uhai badalayake ilikuwa ikifungwa golinyinginyingi kama kaka zao na huku simba wakifaidika kwa kulitwaa kombe la uhai na kuvuna vipaji kadhaa kama messi, seseme,christopher,haruni,mkude,sekule,hatibu. wao watabaki kuiba wachezaji na hasa wakisikia walewanaotakiwa na simba kwakuwa bin clebu na manji ni wafanya biashara na hawana hatachembe ya kutambua uwezo wa mchezaji wanayemsajili kwakuwa hawana wanalolijua zaidi ya kupenda kupeleka team bungeni, na haya utayathibitisha pale ligi itakapokuwa inaendelea utaona wanavyo teteleka na wakina clebu kaziyaokubwa itakuwa ni kununua marefa.
ReplyDeleteKwa mujibu wa sheria za fifa, Tff hawana kosa, simba wanatambua fika mkataba wa mchezaji ili uwe valid lazima upelekwe Tff, ss swali., Simba walikuwa na maana gani kuufungia mkataba kabatini??? Hata kama tff wana kasoro lkn kwa hili viongozi wa Simba nao wana la kutuambia.. Ilikuwaje wasiusajili mkataba wa Yondani?? Pia tukumbuke Yondani huyuhuyu aliwahi kwa na migogoro na viongozi ss hapo swali linakuja... Kuna uwezekano kiwango cha Yondani kingekuwa kimshuka huo mkataba wangeuchana coz haujasajiliwa Tff.. Tujiulize mara mbilimbili kabla ya kuhukumu.
ReplyDeleteNi kweli Prosper hauhitaji kuwa na Degree ya Sheria, na kwa uandishi huo, sidhani kama ulikuwa sahihi kuitaja degree hapa; nionavyo mimi ni kwamba hata kidato cha nne hukufika!
ReplyDeletenyie kweli majuha, mkataba wa Yondani uliisha na kabla ya mchezaji kuwa huru Simba walitakiwa kwenda kuusajili UPYA mkataba wa kuongeza. Walishindwa kufanya hivyo mpaka Yanga wakapeleka mkataba wao TFF. Ikumbukwe pia Yanga walitaka kumnunua Yondani Simba wakadai kuwa wanataka mil. 150 Yanga wakatoa offer ndogo Simba wakakataa mwaka jana. Sasa kama walikuwa wanamuhitaji mchezaji kwa nini hawakuongeza mkataba.
ReplyDeleteHuu mkataba wa Simba waliuandika mwaka huu 2012 FASTA FASTA kwa kuwa walikuwa wajinga. Na kwa bahati mbaya wakiwa wameZOEA mwaka 2012 wwakajikuta wanaandika 2012 badala ya 2011 ambapo wanadai walisign mkataba huo. Na kama walisign 2011 kwa nini hawakuupeleka TFF ili uingizwe kwenye System?
RAge anajua mwenyewe alipokkosoea na ndio maana akasema kuwa "MAAMUZI YA KAMATI NI HALALI" ila anayapinga kama Mwenyekiti wa Simba. Anachotakiwa kwa sasa ni kuwaelimisha MIKIA wenzake wapi walipokosea ili waendelee na mambo mengine lakini yeye anahamisha mada kwa kuwaambia kuwa WANATAKA KUJITOA KWENYE LIGI!
ALL THE BEST MIKIA NA LIGI YA ZANZIBAR!
SIMBA ACHENI UMBUMBUMBU. RAGE JUHA MWENZENU ANAWAINGIZA CHAKA. JIPANGENI.
ReplyDelete