QUOTE OF THE DAY
"Hakuna ukweli wowote kwenye tuhuma ninazotupiwa. Hizi ni tuhuma ambazo zinanitukana....nadhani inabidi ili liwekwe wazi kwa mashabiki wa Manchester United. Kuhusiana na masuala ya kwamba nimewasifia familia ya Glazer kwa nitafaidika na uuzaji wa hisa za United kwenye soko la hisa la New York, hakuna ukweli wowote katika tuhuma hizi. Sipokei malipo yoyote moja kwa moja au vinginevyo kutokana biashara hiyo ya hisa."
Haya ni maneno ya Sir Alex Ferguson akijibu maswali ambayo mashabiki wa Manchester United wamekuwakiuliza: kwamba je atakuwa akifaidika kutoka na biashara ya kuuza hisa za klabu katika soko la New York .
No comments:
Post a Comment