Search This Blog

Sunday, August 5, 2012

PATRICK OCHAN BADO NI MCHEZAJI WA SIMBA?? - AJITAMBULISHA KUWAA AMEAJIRIWA SIMBA FACEBOOK - HUKU AKIWACHANA WABAYA WAKE


  • Worked at Simba Sports Club (Mildfielder)Went to Standard High SchoolLives in LubumbashiFrom Kampala, Uganda
     
    guys thanks for all the support u gave me today when we were playing zamalek and thanks God we won 2-0 hope those who wrote bad about me watched the game cause ut was live on supersport 9 i wonder if suspended play anyway anyway what they r doing is just killing uganda football bt am sorry if i hurt any of u cause i also forgave u guys its part of life bt next time find out truth first before airing issue u dont know becaue today next time is another player only gor the gud of the cranes because it belongs to all ugandans
     
    ""Shukrani kwa sapoti mliyonipa leo tulipokuwa tukicheza dhidi ya Zamalek na asante Mungu tumeshinda 2-0. Natumai wale walioandika mabaya kuhusu mimi wameshuhudia mechi kwa sababu ilikuwa ikirushwa 'live' kwenye Supersport 9, sijui kama mchezaji aliyefungiwa anaweza kucheza. Wanachokifanya ni kutaka kuua soka la Uganda lakini pia samahani kama kuna niliyemuumiza kwa sababu hata mimi nimeshawasamehe (walionisema vibaya) ni sehemu ya maisha lakini wakati mwingine tafuta ukweli kwanza kabla ya kurusha mambo hewani kwa sababu leo mimi kesho ni mchezaji mwingine. Hii ni kwa ajili manufaa ya (timu ya taifa ya Uganda) The Cranes kwa sababu ni ya Wauganda wote."

2 comments:

  1. Lack of seriousness to him inaonekana amesahau ku'update employment status yake na inavyoelekea huu ujumbe wake uko connected na suala la kutojumuishwa kwake kwenye kikosi cha team ya Taifa ya Uganda,anyway yeye afanye kazi yule Kocha wa Uganda Bobby Williams ni mtu makini sana akiona kazi yake hawezi kuacha kumuita ksbb kuna nani sijui amempa habari gn sijui kuhusu mtu fulani,afanye kazi aache taarab...hlf mbona Uganda wanafahamika kwa kujua kingereza vizuri,kwa yeye inakuwaje sasa?

    ReplyDelete
  2. KAKA HAJASEMA ANACHEZA SIMBA BALI ALIWWAH KUCHEZA HAPO. HAPO ANASEMA 'HE WORKED AT..."
    LABDA ANGESEMA "HE WORKS AT...
    NAOMBA KUTOA HOJA HIYO.

    ReplyDelete