Search This Blog

Saturday, August 4, 2012

MBWANA SAMATA AENDELEA KUWAFANYA KITU MBAYA WAARABU - APIGA BAO TP MAZEMBE WAKIIFUNGA 2-0 ZAMALEK

4 comments:

  1. SAFI sana SHAFII kwa kutuhabarisha maendeleo ya wanamichezo wetu...SAMA-Goal ni habari nyingine.....SHAFII...nikiangalia samata alipotokea....nashangaa sana awa SIMBA na YANGA wanavogombea kuchukuliana wachezaji....vipaji vipo vingi sana......ntakuambia kitu SHAFII...awa SIMBA na YANGA wanachokifanya ni kubadilishana wagonjwa!!....akimuona mwenzake ametengeneza timu nzuri basi mwenzake anachokifanya ni kummdhoofisha mwenzake kwa kumchukulia wachezaji wenzake tegemeo na hivyo kuharibu mpangalio mzima na mfumo mzima wa timu nyingine.Kama (Simba na Yanga) wengekuwa na fikra ya kutengeneza maendeleo ya SOKA la BONGO basi mmojawapo akiwa kamzidi mwenzake kiuwezo yeye atafute vipaji vikali zaidi kutoka sehemu nyingine na si kumdhoofisha mwenzake kwa kumchukulia wachezaje tegemeo na hivyo kuanza kuijenga timu upya....Sio siri mchezo huu "mchafu"kwa kipindi kirefu YANGA ndio kinara!!!.....BIG UP AZAM naamini atakuja na Solutio Mbadala....ameanza na timu za watoto...naamini muda si mrefu watakuwa kama TP MAZEMBE katika nyanja za kimataifa...."SIMBA na YANGA should think Global and act Local BUT not think local and act locally"

    ReplyDelete
  2. Nani (mchezaji yupi) katika soka la Bongo kapitia football academies. Jibu hakunma. Kimsingi wachezaji wote wa-kibongo wanatokea mchangani, hivyo uwezo wao hauachani mbali, ni vitu vidogo vidogo tu vya ki-individual skills wanazidiana.
    Ndio maana enzi za Pamba ya Mwanza ikitamba, Sima na Yanga walikuwa wakiichukulia nyoya wake, lakini mwaka unaofuata utaona Pamba wameibua nyota kibao!, mpaka wakaibatiza "Chuo cha wachezaji Tanzania".
    Hivyo, kuibiana wachezaji kwa timu hizi mbili, ni ulimbukeni tu. Tatizo hapa Bongo, soka letu limetwaliwa na uSimba+uYanga. Realistically, Simba & Yanga are only thinking locally and acting locally too. Wanasajili wachezaji ili kufumga mwenzake, eti Simba amfunge Yanga and vice vice versa. Halafu kuna ulumbukeni mwingine umeibuka na unashamiri kila kukicha kwa vinara hawa wa soka la Bongo, kusajili mastaa wanaotoka nje ya nchi!. Hivi tujikumbushe, staa gani wa ukweli ataacha kwenda Ulaya, aje pale Jangwani//Msimbazi!. Ajabu wengi wa mastaa hawa wamekuwa wakizidiwa uwezo na wachezaji wa kibongo, except Okwi/Ambani/Mafisango/Nonda/Yaw Beko. Bado safari ni ndefu sana walau siku omoja kuishuhudia Stars (Taifa stars) ikicheza nusu fainali ya African Cup of nations, huku ikijaza mastaa wa Jangwani & Msimbazi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli kabisa unayosema Mr. Anonymous I agree with You...bado tuna safari ndefu sana!!

      Delete
  3. huu mfumo unaoletwa na hizi timu mbili ndio sababu ya kuzoofisha vipaji vya bongo mana kila mchezaji anataka kucheza vilabu hivyo viwili na kingine ni kuchanganya mpira na siasa mana hizi zinamilikiw na wanasiasa ambao sio wanamichezo ila wanatumia michezo kama sehem au majukwa ya kupatia wanakura wao ili kuwapatia kula katika mambo yao ya ksiasa ila sisi wadau ndo tunapaswa kubadilika,mana sisi ndo wenye nguvu na wenye kuumia

    ReplyDelete