Search This Blog

Monday, August 13, 2012

MBUYI TWITE AZI-TWEET YANGA NA SIMBA




Wewe mdau kama ungekua mahala pa viongozi wa SIMBA na YANGA ungefuata taratibu zipi sahihi kumsajili MBUYI TWITE pasipo kuvunja sheria ?

17 comments:

  1. Shafii tatizo lako ni moja,uko kinazi zaidi kuhusu Simba,yaani madai yako wewe ni kwamba, Yanga hawajafuata taratibu za usajili,je hao Simba ambao wamemsajili mcheza bila kuonana hata na kiongozi mmoja wa APR ndio wamefuata taratibu za usajili?

    Mara useme Yanga wana mabeki wengi,kwamba ilikuwa sio lazima kumsajili Twite,wewe inakuhusu nini kama Yanga wakiwa na mabeki wengi?

    Haya sasa,Allex Kagame kafunga jana akisema,Twite ni mchezaji halali wa Yanga maana ndio waliofuata taratibu zote za usajili,unasemaje?

    Pia iangalie hiyo timu yako ya Simba kuhusu usajili wa Redondo,wanapita njia za panya sa Simba!

    Baraka Masudya (Dom)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wote....wewe na shaffih ni mashabiki,wewe unaona umeandika maoni huru au upo biased?

      Delete
    2. Wewe ndio mwehu kapisa bora mimi mgeni katika mambo ya kabumbu

      Delete
    3. umeambiwa utoe maoni. Kama uliona Yanga wako sahihi ungeelezea tu, mambo ya kumshambulia aliyekuambia utoe maoni yanatoka wapi kama na wewe sio mnazi?? Unazi wake uko wapi hapo na ameuliza maoni bila kusema nani yuko sahihi?!

      Delete
  2. Kwangu ningefuata utaratibu wa Yanga coz wameshirikisha pande zote husika,by Elias wa Moro town!

    ReplyDelete
  3. Rage kapiga nae picha..
    YAnga anasaini mkataba hapo inaonekana simba ni usanii mtupi

    ReplyDelete
  4. Swali langu ni kama Simba hawakufuata taratibu mbona fala sijui twita au facebook na uongozi wa timu wamekubali kurudisha fedha za simba?Kimsingi huyu jamaa kajimaliza.

    ReplyDelete
  5. kuongea na uongozi wa timu yake na mchezaji mwenyewe nadhani ni jambo la maana sana ili kuhepuka kutofwata sheria....!!

    ReplyDelete
  6. Nadhani hata kama Shafii ni mshabiki wa timu fulani lakini alichoonesha kiko wazi kwamba Twite ameonekana akisaini Yanga. Simba nao si waoneshe ushahidi wao????

    ReplyDelete
  7. Leo hii Mtibwa ikitaka kumsajiri Mrisho Ngasa itaenda simba ama Azam?Jibu ni kwamba hauwezi kumsajili mchezaji akiwa katika mkopo pasipo kuifuata taratibu za klabu inayo mmiliki na klabu anayo chezea kwa mkopo,pia Rage mwenyewe kajua ndo maana anataka tu waludishiwe pesa yaishe kama wanahakika na taratibu zao wafuate taratibu zakisheria .

    ReplyDelete
    Replies
    1. ukweli wa haya yote utajulikana kama siyo leo pengine kesho au

      Delete
  8. Hizi za Simba na Yanga ni sarakasi tu ambazo hazina maana kwa maendeleo ya soka la bongo. Na wachezaji wetu wa kiswahili swahili hawa nadhani njaa ndio inawasumbua, kinachoonekana ni kwamba kati ya Simba na Yanga kuna mmoja hakufuata taratibu, kwa kuwa sina vithibitisho vyote ninatilia shaka huyo aliyerejeshewa fedha akazipokea, inawezekana kabisa alikuwa anachomekea! mbona bongo kuna vipaji vingi tu? kwa nini tunashobokea waachezaji wa nje badala ya kutengeneza wa kwetu!!!?

    ReplyDelete
  9. ukweli ningefuata za Yanga

    ReplyDelete
  10. hilo swala lin atata inabidi wadau wawe wapole kwa sasa,ukweli utajulikana tu

    ReplyDelete
  11. lkn kama club imefuata taratibu,mchezaji mwenyewe anakuwa na maamuzi sasa iweje huyu twite afanye hivyo(hatufai kwa soka la bongo)kuna zaid ya kina twite bongo,iz timu kulwa na doto zinanyang'anyana wachezaji ili tu moja imfunge mwenzake,sasa ngoja ligi ianze kama awajachezea vichapo kwa iz timu nyingine zenye discipline ya usajili!

    ReplyDelete
  12. Mbuyi Twite ndo hakufuata utaratibu,alikurupuka baada ya kuona timu za hapa Bongo zinamfukuzia baada ya kumwona kwa tounament moja tu!Binafsi nina mashaka na kiwango chake!

    ReplyDelete
  13. kiukweli huyu twite anastahili kupelekwa mahakamani ,kwa kuzigonganisha timu alipe fidia ya gharama zote ambazo simba imezitumia katika mchakato mzima alafu isitosha anajihatarishia usalama wa maisha yake

    ReplyDelete