Search This Blog

Thursday, August 23, 2012

LUOL DENG NA HASHEEM THABEET KUJA KUTOA MAFUNZO YA BASKETBALL DAR

Mcheza mpira wa kikapu wa timu ya Chicago Bulls raia wa Sudan ya Kusini Luol Deng kwa kushirikiana na mwanamichezo tajiri kabisa wa kitanzania, mwana kikapu Hasheem Thabeet watafanya clinic -draft program ya siku mbili kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari jijini Dar es Salaam tarehe 24 na 25 mwezi huu katika viwanja vya Don Bosco .

Clinic hii itakuwa maalum kwa kutoa mafunzo kwa vijana wa kitanzania ambao wana vipaji vya kucheza Basketball ili kuweza kukuza vipaji vyao zaidi.

Kabla ya kuja Bongo Luol na Hasheem walikuwa nchini Kenya, na leo mchana kwenye mtandao wa Twitter kuwa anakuja Dar es Salaam.


 
Kwa wale ambao hawamfahamu Luol Deng huu ndio wasifu wake.




Twitter: @LuolDeng9
Team: Chicago Bulls
Number: 9
Position: Forward
Country: South Sudan 
Born: April 16, 1985
Height: 6-9 / 2.06
Weight: 220 lbs. / 99.8 kg
Years Pro: 8
CAREER HIGHLIGHTS
·       Has started 439 of his 485 career appearances
·       Holds career averages of 16.0 points per game, 6.4 rebounds per game, while shooting 47% from the floor
·       Has posted 65 double-doubles
·       Drafted number seven overall by the Phoenix Suns in the 2004 NBA Draft / Traded to the Chicago Bulls on June 24 2004
AWARDS
·       United States Basketball Writers Association National Freshman of the Year – 2004
·       NBA All-Rookie First Team – 2005
·       NBA Sportsmanship Award – 2007
·       NBA All-Star – 2012
·       NBA All-Defensive Second Team – 2012
CAREER HIGHS
·       Points – 40 (Chicago Bulls – Portland Trail Blazers, Nov. 1 2010)
·       Rebounds – 20 (Chicago Bulls – Milwaukee Bucks, Nov. 3 2009)
·       Assists – 11 (Chicago Bulls – Sacramento Kings, Feb. 14 2012)

1 comment:

  1. Shaffih kwa kukusahihisha tu kwamba Luol Deng si raia wa South Sudan( Sudan ya Kusini) ni mzaliwa wa
    South Sudan bali ni raia Uingereza (Britain). alikuja Uingereza wakati akiwa mdogo na mpaka Olmpiki 2012 amewakilisha Great Britain katika Basketball.
    Mdau UK.

    ReplyDelete