Search This Blog

Tuesday, August 7, 2012

EXCLUSIVE: EMMANUEL OKWI AWASILI SIMBA !

Mshambuliaji Emmanuel Okwi amewasili muda mchache uliopita jijini Dar Es Salaam tayari kwa ajili ya siku ya Simba ya hapo kesho,
Kwamujibu wa msemaji wa Simba Ezekiel Kamwaga amenihakikishia ya kwamba Okwi yupo mjini na wakati naongea naye alikuwa klabuni mtaa wa Msimbazi akijiandaa kwenda viwanja vya TCC Chang'ombe kwa ajili ya Mazoezi.

31 comments:

  1. ahaaa ahaaa karibu jembe letu mwiba wa yanga

    ReplyDelete
  2. karibu jembe okwi yanga wanatetemeka nadhani wanakufahamu fika na nakuombea ufanikiwe majaribio yako huko ulaya

    ReplyDelete
  3. Haya sasa, maneno meeengi, oo tunamchukua, ooo tunavunja mkataba, sasa mtajijua kulia ngasa kushoto okwi kati muivorian na boban: atapona yeboyebo hapo!

    ReplyDelete
  4. Wakati wengine wanashangilia ubingwa wa kagame, wao wako bussy kushangilia kufeli majaribio kwa mchezaji wao...
    Dah dunia inaenda kasi sana!!
    Castor william

    ReplyDelete
    Replies
    1. Punguza unafiki sio kama simba wanafurahia kufeli kwa okwi kwani wanajua kufanikiwa kwa okwi simba watapata pesa ndefu kinachowapa furaha ni kurudi kwa okwi kutokana majungu ya kijinga ya ya yanga na uongozi wao kudai kumsajili kumbe uzushi mtupu!

      Delete
    2. Tatizo la gongo wazi hamjui km kuna elimu fitna ya mpira wa miguu,mmebaki sizitaki mbichi hizi.

      Delete
    3. kila siku mmebaki kwenye fitina tu mnaturudisha nyuma ni kweli hamtapenda kuona simba inafanikiwa ndio maana hata okwi mnapiga majungu afeli ili simba ikose pesa acheni uchawi sie mbona tumemuuza samata na bado tumechukua ubingwa acheni mpira wa zamani huo nyie niwachawi ukiuona mwenzio anafanikiwa badala kutengeneza cha kwako unahalibu cha mwenzio kweli mnaniboa kwa tabia hiyo

      Delete
  5. Casror William,at least wanaruhusu wachezaji wao kwenda kwenye majaribio na wengine wameuzwa recently.Hao Yanga last time kuuza mchezaji ilikuwa lini?usinitajie Nonda maana ni muda mrefu na hakuuzwa,alisepa kivyake.Unazi mwingine hauna maana.Grow up

    ReplyDelete
  6. wakati wengine wanaendelea kuimarisha vikosi vyao wengine bado wanaweweseka na goli tano na hawajui lini watajikomboa. mwisho wameamua kufukuzia kila mchezaji anaewindwa na mnyama wakiamini anaweza kuwa na uwezo kama okwiiiii!! poleni sana mgongo wazi kazi mnayo.

    ReplyDelete
  7. HIVI NI KWELI OKWI UMENITOROKA KAMPALA? HAIWEZEKANI MM NIMETUMIA GHARAMA KUBWA KUKUFUATA, SASA WATU WA YANGA WATANIELEWAJE MIMI...!? KILA NIKIJITAHIDI NAZIDIWA KETE.

    KUMBE SHULE MUHIMU SANA JAMANI, NGOJA NIRUDI DARASANI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hv kweli ni ww au mambo ya computer pole kk km ni wwhuo ndio mpira wa bongo.

      Delete
  8. Karibu jembe letu! Simba hatuna shida, akifuzu tunapata hela, asipofuzu bado ni msaada kwa timu!

    ReplyDelete
  9. VIONGOZI WA YANGA NAFIKIRI WANAFIKIRI KWA MAKALIO,NADHANI HATA KLINIKI YA UTOTONI HAWAKUMALIZO NDIO MAANA UWEZO WAO WA KUFIKILI NI MDOGO PENGINE KUTOKANA NA KUUGUA UGONJWA WA POLIO IKIZINGATIWA CHANJO YA POLIO HAWAKULIZA. OKWI NI MSOMI NA ANAHESHIMU SHERIA YA MKATABA NA HAWEZI KUJA KWANI YANGA KWANI ATAUA KIPAJI CHAKE. BY MWL MKINGA C.J WA MBEZI BEACH DSM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwl.mkinga inaonekana una hasira sana ya kutolipwa malimbikizo yako ya mishahara na mgomo batili,ukifatilia magazeti ya bongo utaumia sana,yanga hatujawahi mfata okwi,hiyo mbinu ya biashara tu

      Delete
  10. SIMBA MSIWE HIVYO, BIN KLEB KICHWA, JANA AMEWAPIGA CHANGA LA MACHO, HAKUWA KAMPALA, YUPO NAIROBI NILIKUTANA NA RAFIKI YAKE AMENIPA DATA ZOTE ANAKAMILISHA USAJILI WA MCHEZAJI NYOTA! HAKUTAKA SIMBA WAJUE ALIPO!!... MWARABU ATAWASUMBUA SANA HUYU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Atamsumbua kocha wake anayevaa kikuku,sio Simba

      Delete
  11. NDIO BASI TENA DAHHH,wakati mwingine tuishi kwa rational sio emotional....tukitaka kila jambo liende km tunavyotaka sio linavyotakiwa liwe tutafeli yaan tutafeli kabisa.Hongera OKWI kwa kuthubutu ipo siku utafika unapotaka usivunjike moyo kwan kuna njia nyingi za kufikia malengo...USIKARIRI....karibu nyumbani MSIMBAZI

    ReplyDelete
  12. OKWI SI MMETAKA AJE SIMBA DAY ILI MMPATE MAPATO YA MILANGONI! HAYA TUONE! SI MMNAJUA KAMA ATARUDI ZAKE KAMPALA!! HABARI NDIYO HIYO, BIASHARA YOTE INAFANYWA NA KABURU NA SWAHIBA SANA WA BIN KLEB!.. JAMAA KICHWA! ELIMU YAKE MUULIZENI MH. NCHIMBI WALIKUA WOTE FOREST HILL MORO···

    ReplyDelete
    Replies
    1. USIMAME UKAE,UCHEKE ULIE,HABARI NDIO HIYO HAKIKA UNA ROHO LAZIMA IKUUME UKISIKA ADUI MWOMBE NJAA SIO KILA ADUI ANAOMBEWA NJAA WENGINE UTACHANIKA KINYWA WATU WANAMIPANGO YAO, SAMAKI POLE

      Delete
    2. HUYO BIN KLEB ANGEKUWA KICHWA HASINGEFANYA UJINGA KAMA ANAOFANYA WA KUTOHESHIMU MIKATABA. NI MBUMBUMBU NA MHUNI WA KARIAKOO HUYO.

      Delete
  13. We Tanzanians we need to be educated,through Okwi I discovered that most of Tanzanians do not understand what does it means about a certain player having a contract with a certain team that it is strictly prohibited to discuss with a new team about signing a contract unless they are allowed by the former team. I am asking my self that is Tanzanians especially Bin kleb do you know that we commit our country into a very big shame? Okwi shows you that he is a grown up and educated. KARIBU ONCE AGAIN
    BY MWL MKINGA C J,MBEZI DSM

    ReplyDelete
  14. We Tanzanians we need to be educated,through Okwi I discovered that most of Tanzanians do not understand what does it means about a certain player having a contract with a certain team that it is strictly prohibited to discuss with a new team about signing a contract unless they are allowed by the former team. I am asking my self that is Tanzanians especially Bin kleb do you know that we commit our country into a very big shame? Okwi shows you that he is a grown up and educated. KARIBU ONCE AGAIN
    BY MWL MKINGA C J,MBEZI DSM

    ReplyDelete
  15. nyie simba mnachekesha kweli, ndio maana rangi yenu ni nyee-kundu.huyo okwi amecheza mechi ngapi za simba na yanga na kafunga magoli mangapi mpaka aogopwe na yanga?bin kleb alikuwa rwanda na uganda kwa biashara zake za matairi.habari za okwi zimetengenezwa na viongozi wa simba kwa manufaa yao.Unajua ni rahisi sana kuongoza simba kuliko kuongoza yanga,ndio maana hata dalali na elimu yake ndogo aliweza kuongoza simba.

    ReplyDelete
  16. NASHANGAZWA SANA NA HIZI KELELE ZA SIMBA,WAKATI WANANCHI WAKO BIZE NA MAANDALIZI YA LIGI KUU BAADA YA KUBEBA KOMBE LA KAGAME, WENGINE WAKO BIZE NA SHEREHE ZA OKWI NA NGASSA,WANASAHAU KWAMBA TIMU YAO HAINA BEKI ZA UHAKIKA

    ReplyDelete
  17. mwalimu kilaza nkinga!ukitaka kujua ukweli nani ni mbumbumbu katika mikataba fatilia migogoro mingi inaihusisha timu moja tu!sakata la yondani,jeba na lidondo yote haya yanawahusu upande wa kike!na hakuna hata mchezaji mmoja atakaechezea hao wanawake!mlisajili kwa mbwembwe kabla ya kagame mmepata nn?hy okwi yupo niaka yote kwanini hajawasaidia kubeba kagame ht mara moja?unauliya tumeuza wachezaji wp unajua mpira ww?c lazima uuze mchezaji km unadhani kuuza ni cfa!kawaulize wachezaji wa misri kwanini hawachez nje!we unauza mgosi unanunua lino musombo na mbiavanga?

    ReplyDelete
  18. Naomba kuuliza, nilisikia kama Okwi alipoenda kule Austria walikuwa watatu waliokuwa wanajaribiwa, na mmoja tu ndiye aliyefuzu, mmoja huyo siyo Okwi. Nini ukweli wa suala hili? Halafu kama kweli Okwi kafeli, kwanini Rage
    adanganye kwenye kikao kikubwa vile?

    ReplyDelete
  19. Kweli Simba wameishiwa!,yaani wanashangilia mchezaji wao kama kuna jipya? Tatizo lao hawana beki wao wanashangilia mastriker. Kalaghabaooooo......

    ReplyDelete
  20. Hata mfanye nini Yanga Bingwa Kagame!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga Bingwa Kagame!!!!!!,Kweli lakini Halafu????. Hivi bingwa wa kagame anakutana na bingwa gani tena?? Mashindano gani Bingwa wa Kagame anashiriki baada ya kutwaa Ubingwa??. Hivi wewe umeshamsikia Raisi wa Afrika Mashariki?? ni nani?? anatetambulika na nani?? Lakini Raisi wa Tanzania unamjua! wa kenya unamjua! wakikutana na maraisi wenzao we unajua!!!. Haya shangilia basi we bingwa wa kagame. Wakiitwa mabingwa wa nchi na wewe utakuja?????

      Delete
    2. Ila ninachowapenda Yanga wakishadidia jambo utafikiri la maana na wao ndio wakweli. Halafu Lugha zao Kali.

      Delete
  21. kwhiyo kama yanga bingwa ndo watu wanyamaze yani tuwe mabubu we vipi ushindi wenyewe wa kubwebwa ebo nani asiyejua yanga watu wa kubwebwa tulia wewe hujui kitu

    ReplyDelete