DEBATE: KITENDO CHA ARSENAL KUMUUZA VAN PERSIE KWENDA MAN UTD,JE NDIO MWISHO WA UPINZANI NA UHASAMA BAINA YA HIVI VILABU VIWILI ?
ROBIN VAN PERSIE akiwasili kwenye hospitali ya bridgewater tayari kufanyiwa vipimo vya afya ili kumalizia taratibu za kujiunga na MAN UTD.
hapana upinzani hupo palepale hivi vilabu vya tanzania mbona hawaigi mfano huu wa ulaya
ReplyDeleteHuenda ukawa ndio mwisho wa uhasama, ila ikumbukwe chnzo cha uhasimu kati ya club hizi mbili si wachezaji bali ni management, Van ni mchezaji ambaye yuko huru kama mchezaji yeyote yule awe man au arsnl kwahiyo uhamisho wake hauna matokeo yoyote ya kiuhasimu, wengi walishahama kutoka klabu moja kwenda nyingine,mfano C.Ronaldo kwenda Madrid lakini amani ikaendelea kuwepo na dunia ikazoea tu
ReplyDeletesidhani kama uhasama utaisha lakini kwa nini vilabu vya tanzania hawaigi mfano mzuri wa vilabu vya ulaya
ReplyDeleteKaka nakwambia upinzani ndo utazidi kabisa/ Lakini haswa mashabiki wa pande hizo mbili.
ReplyDeleteUpinzani na uhasama uko pale pale na hata hili dili la Van Persie si kwamba limefanyika kirafiki ki-hivyo ni bac tu circumstances zimechangia,1.Van persie amwshakataa kusaini mkataba mpya,2.Ana mwaka 1 amalize mkataba wake,means ataondoka free mwakani,3.hakuna klabu nyingine iliyotoa dau zuri kwa timu na mchezaji zaidi ya United,so haina jinc yabidi biashara ifanyike. Na pia hata maneno ya mzee Wenger yanakamilisha hili "BITTEREST PILL I'VE EVER HAD TO SWALLOW" Means amemuuza RVP kwa United bac 2 afanyeje!!
ReplyDeleteHahahahaaa Mziki utakuwa mkali sana nathani wapinzai wajipange maana cjajua kila kikosi cha mashetani wekundu Babu atakipanga vp na upinza
ReplyDeleteNathani kwa sasa mengi yataongelewa lakini kija ndio vile ameshaa tua MAN U Tusubiri kazi tu jumatatu nathani hakuna uhasama wowote utakao jitokeza na mambo yatakuwa mazuri sana kwa mashabiki wote wa MAN U
ReplyDeletebifu lipo oalepale tena litaongezeka pale RVP atakapo cheza zidi ya arsenal
ReplyDeleteKiukweli kwa sisi Mashabiki wa Gunners tumeumia kwa kitendo hiki ila Arsene Wenger anajua anachokifanya..Hivyoo hatupaswi kulaumu sana kuna wachezaji wapya au wengine watavaa Kiatu cha RVP na mambo yatakuwa safi tuu...Na RVP anatafuta Maisha hvyoo si vibaya akalipwa zaidi maan sera za Arsenal zinambana yy kunufaika na soka lake..Once a Gunner Always a Gunner...
ReplyDeleteMbona sis tuliwapa silvester?? Na tuliumia sana kupoteza mashine kma ile..hahahahahaha...tutengenezeeni wilshere tunakuja next season
ReplyDeleteI lyk it....Silvester!
Delete