Kaka magazeti ya siku hizi ukinunua moja tu, unajitosheleza maana habari ndio hizo hizo, tofauti na zamani, mtu unanunua magazeti 6 na bado kuna habari unazikosa...
Tofauti ni ubunifu zaidi kwa gazeti la mwananchi.Kumbuka kila mpenda soka nchini alikuwa na maswali mengi sana juu ya Mbuyu Twite kutua yanga kwa maneno na vijembe.Lakini hawa jamaa wa mwananchi wamebreak silence na kitendawili kwa kutuletea picha hiyo. Mwakyembe toka jana tumemwona akiwa kwenye TV,Blogs,Facebook pages za watu, Twitter kwa saaaaana.So kwa leo picha yake siyo ngeni machoni petu.
Nawatabiria Mwananchi Mauzo mazuri ya gazeti lao kwa upeo wangu mdogo wa Kihabari.Magazeti mengine yamekariri kuwa kila picha lazima ikae back page Big Noooooooooo!!!! Striking News na itakayo vuta attention ya watu wengi ni ile ambayo watu hawakuitegemea kuona.
Journalists wawe creative, Lazima waendane na wakati na ku incorporate kitu kinaitwa Day Two Journalism na siyo journalism tuliyozoea.Day Two Journalism ni ile ambayo ingawa vyombo vya electronic vimeriport saaaaana siku nzima, social media zimeriport pia na watu ku comment through out the day, kesho yake ili uwe kwenye market gazeti lazima iangalie another way of reporting siyo kama tuliyoizoea. Mfano: Zenawi alipofaeriki kulikuwa na breaking news kila corner throughout the day, Je kesho yake utaandika Zenawi dies? hahahaaaaa inakuwa siyo news.
Magazeti ya leo Yooooooote hawajaenda na wakati, wametukumbusha tu kitu kilichotokea jana na tulichokiona usiku kwenye electronic media.Mimi Leo nimenunua gazeti Moja tuuuu.Mwananchi kwa sababu nimepata kitu kipya hata kwa njia ya picha
Yaani huyo mwandishi wa mwananchi aloweka hiyo picha hapo juu ni boya ile mbaya! nilitaka kununua hilo gazeti nilipo iona hiyo picha nikaona upumbavu nimefananisha na gazeti la udaku. Hao ndo waandishi wa miezi 3 washahitimu wanaajiriwa walo hitimu mafunzo kamili wanazagaa mtaani so shame! Hakujua habari ipi iko hoti? kurasa ya nyuma ilienda wapi?
MWANANCHI WAMEANDIKA KICHWA KINACHOTOFAUTIANA NA PICHA INAPUNGUZA MVUTO KWA READERS COZ WAPO WASIOJUA KUSOMA BUT WAKIMWONA MWAKYEMBE WANAPATA MESSAGE.IMMAR
sio wote ni washabiki wa yanga watakao furahia ni wa yanga wa simba hawata nunua mwandishi hakutazama wateja wake ni watanzania wote,akumbuke kuna watu wakiona rangi nya njano na kijani wanafumba macho
mwananchi wameweka picha ya yanga ukurasa wa mbele
ReplyDeleteKaka magazeti ya siku hizi ukinunua moja tu, unajitosheleza maana habari ndio hizo hizo, tofauti na zamani, mtu unanunua magazeti 6 na bado kuna habari unazikosa...
ReplyDeleteMo de bebeto
Tofauti ni ubunifu zaidi kwa gazeti la mwananchi.Kumbuka kila mpenda soka nchini alikuwa na maswali mengi sana juu ya Mbuyu Twite kutua yanga kwa maneno na vijembe.Lakini hawa jamaa wa mwananchi wamebreak silence na kitendawili kwa kutuletea picha hiyo.
ReplyDeleteMwakyembe toka jana tumemwona akiwa kwenye TV,Blogs,Facebook pages za watu, Twitter kwa saaaaana.So kwa leo picha yake siyo ngeni machoni petu.
Nawatabiria Mwananchi Mauzo mazuri ya gazeti lao kwa upeo wangu mdogo wa Kihabari.Magazeti mengine yamekariri kuwa kila picha lazima ikae back page Big Noooooooooo!!!!
Striking News na itakayo vuta attention ya watu wengi ni ile ambayo watu hawakuitegemea kuona.
Journalists wawe creative, Lazima waendane na wakati na ku incorporate kitu kinaitwa Day Two Journalism na siyo journalism tuliyozoea.Day Two Journalism ni ile ambayo ingawa vyombo vya electronic vimeriport saaaaana siku nzima, social media zimeriport pia na watu ku comment through out the day, kesho yake ili uwe kwenye market gazeti lazima iangalie another way of reporting siyo kama tuliyoizoea.
Mfano: Zenawi alipofaeriki kulikuwa na breaking news kila corner throughout the day, Je kesho yake utaandika Zenawi dies? hahahaaaaa inakuwa siyo news.
Magazeti ya leo Yooooooote hawajaenda na wakati, wametukumbusha tu kitu kilichotokea jana na tulichokiona usiku kwenye electronic media.Mimi Leo nimenunua gazeti Moja tuuuu.Mwananchi kwa sababu nimepata kitu kipya hata kwa njia ya picha
Yaani huyo mwandishi wa mwananchi aloweka hiyo picha hapo juu ni boya ile mbaya! nilitaka kununua hilo gazeti nilipo iona hiyo picha nikaona upumbavu nimefananisha na gazeti la udaku. Hao ndo waandishi wa miezi 3 washahitimu wanaajiriwa walo hitimu mafunzo kamili wanazagaa mtaani so shame! Hakujua habari ipi iko hoti? kurasa ya nyuma ilienda wapi?
ReplyDeleteMWANANCHI WAMEANDIKA KICHWA KINACHOTOFAUTIANA NA PICHA INAPUNGUZA MVUTO KWA READERS COZ WAPO WASIOJUA KUSOMA BUT WAKIMWONA MWAKYEMBE WANAPATA MESSAGE.IMMAR
ReplyDeleteMWANANCHI WAMEWEKA PICHA YA NDALA FRONT PAGE.
ReplyDeletesio wote ni washabiki wa yanga watakao furahia ni wa yanga wa simba hawata nunua mwandishi hakutazama wateja wake ni watanzania wote,akumbuke kuna watu wakiona rangi nya njano na kijani wanafumba macho
ReplyDelete