Ni mtoto wa Kibrazil shabiki mkubwa wa Barcelona, alizaliwa akiwa na miguu isiyokuwa na viganja. Lakini kwa uwezo wa mugnu na mapenzi yake kwa mchezo wa soka Gabriel mwenye miaka 11 anaweza kucheza soka akiwa na ulemavu huo.
Kwa bahati nzuri aliweza kuonekana na mmoja ya watu wakubwa kutoka Catalunya na akapewa nafasi ya kufanya mazoezi na timu ya watoto ya Barcelona kwa muda wa wiki moja kitu ambacho kimemtimizia ndoto yake.
No comments:
Post a Comment