Search This Blog
Thursday, July 12, 2012
LIVE MATCH CENTRE: SIMBA YATWAA UBINGWA WA URAFIKI CUP - YAIFUNGA AZAM KWA PENATI
Felix Sunzu anaipatia Simba bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa kwenye dakika za mwanzo kabisa za mchezo.
Dk ya 45 Azam wanasawazisha goli hapa na mpira unaenda mapumziko matokeo yakiwa sare. Mcha Viali ndio mfungaji wa goli.
Kipindi cha pili kinaanza hapa timu zinashambuliana kwa zamu.
Azam wanapata bao la pili John Bocco anaweka mpira kimiani.
Simba wanapata penati na Mwinyi Kazimoto anaenda kupiga penati hiyo.
Ni goli - Mwinyi Kazimoto aka Failasufu anafunga bao la pili kwa upande wa Simba.
Mpira umeisha na timu zimeanza kwenda kwenye hatua ya penati.
Penati zinamalizika kupigwa na Simba wanatoka na ushindi wa penati 3-1 na matokeo ya jumla yakawa 5-3.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
safi sana Shafii sisi mimi nipo nje ya TZ nafuatilia huo mtanande naomba uendelee kutupa updates
ReplyDeleteumenogewa mbona update hakuna? kimya sana....
ReplyDeletedauda unatoa update kimahaba sana
ReplyDeleteShafii safi sana tunaomba uwe unasema ni dakika ya ngapi hayo magoli ya pia update mfano ya kila takika 5 tafadhali 2 yana fungwa na
ReplyDeletethanks for good news nilikuwa sijajua matoke. simba bingwa.
ReplyDeleteMnyama nouma bado anatanua wigo wake ktk tz
ReplyDeleteasante kaka japo nipo kijijini mwese mkoa wa katavi najenga taifa nakupata vilivyo kupitia blog yako na nijaliwapo wese nakupata kupitia clouds fm the peoples' station ASANTE SANA KWA TAARIFA YA USHINDI WA SIMBA KESHO INABIDI NIUE JOGOO KARIBU
ReplyDeletesays reuben(reubenswilla@ymail.com)
simba chama kubwa....hongereni sana simba sehemu ya makombe!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletehongereni watani zetu,naona sasa mnastahili kuitwa wazee wa matuta,maana mlitufunga yanga kwa matuta,wabunge wenu wakatufunga kwa matuta na sasa mmeendeleza fomesheni ya ushindi wa matuta hata kwenye makombe ya mbuzi,kwani jana mlisawazisha kwa tuta la utata na baadae kushinda kwa matuta.hongereni sana mnaweza kuchukua hata kagame kwa matuta.inaonekana milovan ni kocha mzuri wa penati
ReplyDelete