Search This Blog

Friday, July 20, 2012

LIVE MATCH CENTRE - KAGAME CUP: YANGA 2 - 0 APR - FULL TIME


DK 90: Anatoka Niyonzima anaingia Rashidi Gumbo.
DK 81: Yanga 2 - 0 APR
DK 72: Yanga  inafanya mabadiliko anaingia Jeryson Tegete anatoka Said Bahanunzi
DK 70: APR wanalisakama sana lango  Yanga na Yew Berko anafanya kazi ya ziada kuokoa michomo.
DK 67: Said Bahanuzi anafunga bao la pili hapa baada ya bekiwa APR kuteleza na kumpokonya mpira na kufunga bao la pil. Mpaka sasa ametimiza mabao manne kwenye mashindano haya.
DK 59: APR wanafanya mashambulizi makali kwenye lango la Yanga lakini Yew Berko anaokoa, na kwa bahati mbaya napata maumivu tena.
DK 57: Yanga inafanya mabadiliko, anaingia Juma Seif Kijiko anatoka Nizar Khalfan
DK 55: APR wanaonekana kubadilika kwa kipindi hiki cha pili, wanalishambulia goli la Yanga lakini wanashindwa kutumia nafasi.

DK 53: Yew Berko anagongana na mchezaji wa APR na anaonekana kuumia, ingawa baada ya kupatiwa matibabu aninuka na kuendelea kucheza.

DK 46: Kipindi cha pili kinaanza hapa uwanjani.

DK 45: Mchezo unaenda mapumziko Yanga wakiwa wanaongoza kwa 1 - 0. Kwa kifupi Yanga wamecheza vizuri sana hasa kwenye safu ya ulinzi na kiungo ndani ya dakika 45 za mchezo huu.
 
DK 43: Yanga wanapata goli lakini linakataliwa. APR wanashindwa kuweza kucheza mchezo wao uliozoeleka katika michezo yake iliyopita.

DK: 30 - Yanga 1 - 0 APR

DK 23: Said Bhanuzi anaiandikia Yanga bao la kwanza.

DK 19: Nizar Khalfan anapoteza nafasi nzuri ya kufunga bao hapa.


DK 15:  Mchezo unaonekana kuchezwa kati kati ya kiwanja sana, Yanga wakitawala eneo hilo, matokeo n 0-0.

DK 7: Yanga wanaonekana kutulia na kulishambulia lango la APR kwa dakika hizi za mwanzo mwa mchezo.

DK: 1: Mpira unaanza hapa uwanja wa taifa.

 1.Yaw Berko - 19,
2.Juma Abdul - 14,
3.Oscar Joshua - 4,
4.Nadir Haroub Cannavaro (C) - 23
5.Kelvin Yondani - 5
6.Athuman Idd Chuji - 24
7.Nizar Khalfan - 7
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Said Bahanunzi - 11
10.Hamis Kiiza - 20
11.Stephano Mwasika - 3

Subs;
1.Ally Mustapaha 'Barthez' - 1
2.Godfrey Taita - 17
3.Juma Seif Kijiko - 13
4.Idrisa Rashid - 12
5.Rashid Gumbo - 16
6.Shamte Ally - 15
7.Jeryson Tegete - 10

Head Coach: Tom Saintfiet
Assistant Coach: Fred Felix Minziro,
Goalkeeper Coach: Mfaume Athumani
Team Physician: Dr Sufian Juma
Massagist: Jacob Onyango
Kit Manager: Mahmoud Omary (Mpogolo)

5 comments:

  1. mi ni shabiki mkubwa wa simba lakini wka jinsi walivyocheza kipindi cha kwanza nawapongeza sana yanga,na haswa dogo Bahanuzi.nawatakia ushindi gemu hi ya leo...viva tanzania.ila shaffih usikate moto bana,kaburu amekaba so siwezi ona kipindi cha pili.king

    ReplyDelete
  2. mbona kimya kiongozi?tupe matokeo basi

    ReplyDelete
  3. Kutoka Italy, Ahsante sana Brother kwa kuweza kutupa matokeo ya moja kwa moja na ninaipongeza timu ya Yanga kwa kuweza kuibuka na ushindi mzuri.

    ReplyDelete
  4. Kutoka Italy nimefurahi sana Brother kwanza kwa kuweza kutujuza kilichokuwa kikijiri uwanja wa Taifa, pili nawapongeza wana Yanga kwa ushindi mzuri walioupata.

    ReplyDelete
  5. Kutoka Italy kwanza nakushukuru Brother Shaffih kwa kuweza kutupatia matokeo ya mchezo mzima uliokuwa ukiendelea uwanja wa Taifa. Na pili naipongeza Yanga kwa kuweza kufanya vizuri katika mchezo huu wa leo kwa kushinda jumla ya magoli 2-0.

    ReplyDelete