Mario Balotelli jana alifanya kituko kingine katika mfululizo wa matukio yake ya utata baada ya kujifungia chooni ili kuwakimbia mashabiki wake waliojazana Airport kumsubiri.
Mshambuliaji wa kiitaliano anayechezea Manchester City aliripotiwa kuwepo sehemu ya kusubiri mizigo yake Airport akienda kuungana na wenzake kwenye pre-season, lakini umati wa watu waliokuwepo pale walipomuona Balo wakaanza kuomba kupiga picha na kuomba saini.
Watu walivyozidi kujaa, Balotelli ikabidi akimbie na kwenda kujificha kwenye choo cha wanaume mpaka pale staff wa Airport walipoenda kumchukua na kumtoa nje kupitia njia ya wafanyakazi wa kiwanja ndege cha ndege hicho mpaka kwenye gari yake.

Kweli huyu jamaa ni chizi manake always ni yeye ila akikua ataacha
ReplyDelete