Search This Blog

Tuesday, July 3, 2012

JINA LA BECKHAM BADO NI BIASHARA KUBWA: ADIDAS WAENDELEA KUUZA JEZI YA BECKHAM KWA AJILI YA OLYMPIC JAPOKUWA AMETEMWA

Takribani wiki sasa tangu Beckham atangaze kwamba ameachwa kwenye kiksoi cha nchi ya Uingereza kitakachoshiriki kwenye michuano ya Olympic, lakini watengeneza jezi wa timu hiyo Adidas wameendelea kupiga bao kwa mauzo ya jezi iliyotengenezwa maalum kwa ajili ya Beckham kuvaa kwenye michuano ya Olympic kama angekuwa ameitwa.

Jezi hiyo imeendelea kupatikana kwenye maduka na mitandao tofauti duniani ikiwa inauzwa £49 ambayo ni sawa na kiasi kama cha Laki moja na nusu za kibongo
.

No comments:

Post a Comment