Search This Blog

Wednesday, July 4, 2012

I WISH....SIKU MOJA YANGA CHINI YA YUSUF MANJI IWE NA MAFANIKIO KAMA YA TP MAZEMBE CHINI YA MOISE KATUMBI CHAPWE!

Siku chache zijazo Klabu ya Yanga inatarajia kufanya uchaguzi kwa baadhi ya nafasi zilizoachwa wazi, Ndugu Yusuf Manji ni mmoja wa viongozi wanaowania nafasi ya uenyekiti kwenye klabu hiyo yenye maskani yake kwenye makutano ya mitaa ya Jangwani na Twiga,
I WISH siku moja Bwana Yusuf Manji ambaye ni mfanya biashara mkubwa hapa nchini Tanzania afuate nyayo za mfanya biashara mwenzake toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bwana Moïse Katumbi Chapwe ambaye pia ni mwenyekiti wa Klabu ya TP MAZEMBE.

Moïse Katumbi Chapwe akikagua sehemu ya ndani ya uwanja wa mpya wa TP MAZEMBE ambao yeye kausimamia mpaka kufika hapa ulipo.
I WISH........Siku moja Bwana Yusuf Manji ausimamie uwanja wa YANGA kufika mahala hapa!
   I wish............
    I wish.....siku moja sehemu hii ya majukwaa ya uwanja wa TP MAZEMBE yawe ni ya YANGA.
    I wish..........
  I wish......siku moja Bwana Yusuf Manji awe mahala hapa alipo  Moïse Katumbi Chapwe akikagua majukwaa ya uwanja wa YANGA.
   I wish...... Siku moja bwana Yusuf Manji ndiyo awe anakagua maendeleo ya ujenzi ndani ya  uwanja  wa YANGA
   I wish.....Siku moja kushoto awe Bwana Yusuf Manji akimkaribisha Bwana Abdallah Bin Kleb kwenye ofisi za YANGA ndani ya Uwanja wao.
   I wish...... siku moja hapa aliposimama Moïse Katumbi Chapwe awe amekaa Bwana Yusuf Manji akitazama maendeleo ya uwanja wa YANGA.
   I wish...siku moja hapa alipokaa Moïse Katumbi Chapwe awe amekaa Bwana Yusuf Manji akitafakari matunda ya uongozi wake ndani ya YANGA.


   I wish.......
 I wish ....
   i wish..... siku moja nione maandishi ya YANGA mahala yalipo maandishi ya TPMAZEMBE..
   I wish ....siku moja wachezaji wa YANGA chini ya uongozi wa  Bwana YUSUF MANJI wamekaa kwenye vyumba hivi vya kubadilishia nguo.. 
   I wish.....

13 comments:

  1. Mbona Manji tu, usemi kuhusu Simba...wewe una mapenzi ya kizamani wewe. Manji anaweza kufanya lolote, hata kukulisha wewe na familia yako kwa miaka kumi.

    Washington

    ReplyDelete
    Replies
    1. WE NDO UNAMLAZIMISHA ASEME KISHABIKI,MAKE MPIRA PESA NA ANAONA KAMA KWELI MANJI AKAWEKEZA NA AKAPATA NA WADAU NJE NA AKAFANYA KWA KUWEKEZA KWELI ANACHOKISEMA NA USHABIKI,SIMBA WADAU WAPO NJE YA UONGOZI WANACHANGIA WAKIWA NJE YA UONGOZI KAMA AKIJITOKEZA MOMO AKAWANIA UENYEKITI MIFANO HII ITATOKEA KWA SIMBA,MANJI AMEKUA AKITOA PESA YAKE NA ANAWAPA WATU AMBAO HAWAJUI THAMANI YA PESA MAKE HATA MISHAHARA INAYOTOLEWA NA WADHAMINI UNAKULA NA UNAMFANYA MCHEZAJI ACHEZE MECHI ZA HISANI APATE LISHE NI UNYAMA KAMA ALOFANYIWA ULIMBOKA,SO SHAFII YUKO SAHH KUTOA MFANO WA MANJI MAKE AMEKUA AKITOA PESA NA AMEAMUA AKJARIBU NA YEYE AKIWA ANAZITOA NA KUZITUMIA YEYE

      Delete
  2. Kaka Shaffih kila jambo lina sababu na kila jambo lina wakati wake. Nawatakia kila la kheri wana Yanga wote walio wanachama HAI watumie vyema KURA zao kuchagua viongozi watakaoleta chachu ya Maendeleo ya Yanga....sitarajii kusikia uchaguzi umevurugika Inshallah Mungu atafanikisha uchaguzi wa Yanga na kupata viongozi stahili na sio viongozi wababaishaji walaji ....Big Up Yusuphu Manji...

    ReplyDelete
  3. washington sioni faida ya wewe kuishi katika dunia hii, yaani afadhali ya paka ana umuhimu ndani ya nyumba kwani anaweza kusaidia kukamata paka kuliko wewe. hivi lini mtaacha kumsakama huyu shaffih? yaani hata kuitakia yanga mafanikio kwake ni kosa? ama hakika wafadhilaka wapundaka!1

    ReplyDelete
  4. jinsi usivyoipenda yanga ikifikia hatua hiyo lazima utakunywa sumu we kibaraka..hiyo I WISH yako imejaa unafki kuliko hata inavyotamkwa tangu lini mfitini kama wewe ukaiombea mazuri yanga na ndo mtu wa kwanza kupinga manji kugombea uongozi yanga...hivyo vitu vidogo tu ngoja mkuu wa kazi aka TAJIRI aka billionea wa tz aingie madarakani na I WISH zako za kinafki sijui utazipeleka wapi.

    ReplyDelete
  5. hayo ndio mambo ambayo mtu ukifnya unaback kukumbukwa daima, hata siku utapokufa watu wakulilia na kusema umeacha pengo, kwa hapo nyumbani bado hatujapata viongozi ambao katika utendaji wao tukaona mafanikio, kinachotokea ni kusikia tu majina yao kila siku kwenye vyombo vya habari yakitajwa au wao wenyewe wakisikika wakiongea na kutaja mipango lukuki isiyotekelezeka,kitu ambacho ndio kinatuchelewesha mpaka leo soka letu lipo huko lilipo, pongez kwa viongozi wa AZAM FC, kwani kwa muda mfupi tumeona feuture yao ila nashikwa a wasiwasi wanaweza wasifike kwenye kilele cha mafanikio yao kwa ajiri ya mzimu wa usimba na uyanga, ambao dio cha sisi tanzania kuwepo kwenye no 135

    ReplyDelete
  6. Manjiiii mpen kura the 2one yani akijtahd kukaa yanga yake miaka 2 vitaa

    ReplyDelete
  7. Sidhani kama ni mzima huyo anayejiita washingtoni. tumsamehe tu hajielewi, maana huwezi kuwa na akili zote halafu unacoment ujinga hawa ndio wanaharibu soka letu wacheza bao halaf wanajifanya kuvamia soka! stupid.....

    ReplyDelete
  8. nani mwandishi wa hii????Kama ni Shafii hauoni kwamba unapiga kampeni wakati mda bado?? Umepewa fungu au Ulivotiswa kidogo na wazee wa yanga ndo imekupeleka huku.maendeleo yanga yanaweza letwa na mtu yeyote makini c lazima Bwana manji.Hayo ni mawazo mgando.(hii ni kwa yeyote aliye-post hii)

    ReplyDelete
  9. unataka amtume mama yako kusema ndio ujue ana wish kweli? hata hivi kumtakia mtu mafanikio mpaka awe ndugu yako? kama hivyo kazi kweli kweli, mtasubiri sana mashabiki wa yanga maana mnafanana kwa sura, tabia, mpaka akili. ndio maana kuna mmoja wenu amesema eti yanga timu ya mungu.si uchuro huo jamani?

    ReplyDelete
  10. Shaffih kaka,hawa yanga hawakupendi,wala hawataki uandke chochote kuhusu klabu yao! Nawe hukomi tu?? Hivi ni lazma uandke habar za yanga tuuuu! Haya sasa,ona wanavykudhalilisha kwa matusi,kejel na kashfa za ajabu ajabu....waachie timu yao kaka,tafadhaliii eeeh!@SHAFFIH

    ReplyDelete
  11. thubutu yanga ka TP Mazembe labda miaka 200 ijayo...

    ReplyDelete