Wakati sekeseke la usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Simba kutoka Uganda Emmanuel Okwi likizidi kushika kasi, taarifa zikisema amejiunga na mahasimu wao wa Dar Young Africans.
Kutokana na sintofahamu hiyo kuendelea muda mchache uliopita niliongea na mshambuliaji huyo wa Uganda crabes moja kwa moja kutoka Kampala Uganda kuhusu hatma yake ya wapi atakapocheza msimu ujao wa soka.
Okwi alisema: "Shaffih hizo taarifa zinazoenea huko Tanzania kwamba nimesaini kuichezea Yanga sio za kweli kabisa. Ni uongo asilimia 100. Mimi bado mwajiriwa mtiifu wa klabu bingwa ya Tanzania Simba. Naipenda na kuiheshimu timu yangu na nitaendelea kuiheshimu saini yangu iliyopo kwenye mkataba ambao bad ninao na Simba. Sasa nimepewa ruhusa ya kwenda nchini Italia kwenda kufanya taratibu za kujiunga na Parma lakini kama mambo yakiwa ndivyo sivyo then mtaawa Msimbazi ndio nyumbani kwangu. Natarajia kwenda Italia ndani wiki hii kwa sababu sasa hivi ninasubiria viza inayotoka ndani ya siku mbili zijazo," - alimaliza Okwi.
Shaffih siyo siri hizi khabari nimezipata leo asubuhi toka nimezisikia nilikuwa kama mtu aliyezibwa pumzi/au kama mtu aliyezamishwa kwenye maji yani sasa hivi ndo umenifungua pumzi,siyo siri jemedari mimi leo nimezira kunywa chai,mchana nimetia kitu cha deshi...yaani hapa na_comment pembeni na cha_ugali mkubwa na kyuku..dah Okwi NOMA mwanangu...Sasa kama vipi kwa faidi ya wanaSIMBA wenzangu na wale washakunaku hicho kitu cha interview yako na dogo Okwi kitupie hewani kwenye cha Sport Extra,Maana hata ofisini leo palikuwa hapatii hamu ya kuwepo na hapafanyiki kazi story alikuwa anazungumziwa dogo Okwi tu.....Ebwana jioni tupatie raha wana simba wote watie majonzi washakunaku wote pamoja na Migazeti yao yakise**.....
ReplyDeleteHapo mtu mzima shaffih nimekukubali tofauti na hawa mafala wa Magaziti....Hivi hawa watu wa magazeti ya Michezo wanafaida gani kwenye Society kama wanashindwa kutufikishia msg za ukweli...
Its Me Revenue....
Yanga hawana bilion mbili za kumsajil Okwi,yule babu yao anazo mil 750 tu,znatosha kusajili wachzaj wengne na kumlpa kocha wao mpya!
ReplyDeleteaaahhhh!!!! okwi katishaje its me REUBEN NZOWA BOBAN
ReplyDeleteHIVI TATIZO NI OKWI KWENDA YANGA AU OKWI KUONDOKA SIMBA?sababu mwisho wa siku ni lazima ataondoka tu ama kwa kuuzwa au kumaliza mkataba,au kwa njia nyingine yoyote. mafisango yuko wapi sasa hivi?.sasa sioni sababu ya mtu kukosa raha hadi kushindwa kula utafikiri amefiwa na babake kumbe kasikia okwi amesaini yanga.,hebu tuachane na mambo ya kishamba nakizamani ya kung.ang,ania wachezaji
ReplyDeleteNyie Mnatakiwa kuelewa Yanga inapita kipindi gani. lazima ipatikane sababu ya kuleta utulivu na amani. Mbele kuna uchaguzi sasa hizi ndio habari za kipindi hiki cha mkesha
ReplyDeletesasa wewe ulitaka akubali mumwaribie deal??
ReplyDeleteHao yanga ka wanataka warudishe yale magarasa yao ...pe na as....mo ambao umri wao unakaribia miaka 40+ halafu wanadanganywa wana miaka 24! wkt hata p..pic mdogo na alisemaga these 2 guys a older than me hahahaaaa!
ReplyDeleteNadhani hii ilikuwa ni janja ya kupoteza habari ya jana ya timu ya kurudishwa toka Zenj, na kuna uwezekano hayo magazeti yamelipwa kuandika hiyo habari.
ReplyDeleteKwani Okwi mkataba wake unakwisha lini shaffii? Hata Yondani tuliambiwa haendi yanga, lakini sasa yupo yanga. Acha mchezo na fedhwa. Kwani unafikiri watu kuuza nyumba zao kariakoo na kwenda kukaa Tandika wanapenda? Mambo ya fedha hayo. Karibu Okwa Jangwani.
ReplyDeleteYANGA Wana pesa gan ya kumlipa "OKWI" Wakat wameshindwa kumlipa "PAPIC" Hadi amewakimbia??? Hizo ni kampeni tu za uchaguz hawana lolote YEBOYEBO hao. Ni Mimi Zuberi
ReplyDeleteYANGA Wana pesa gan ya kumlipa "OKWI" Wakat wameshindwa kumlipa "PAPIC" Hadi amewakimbia??? Hizo ni kampeni tu za uchaguz hawana lolote YEBOYEBO hao. Ni Mimi Zuberi
ReplyDeletehao yanga hawana jipya!
ReplyDeletehao yanga hawana jipya!
ReplyDeletesimba ni kama twanga pepeta{football university}akiondoka sawa akibaki sawa watazaliwa wengine,hongera mama asha baraka we ni shamba ita wateja waje kununua,yanga acheni uhuni njooni mezani,leo hii mapacha watatu wapo wap na wamefikia wap?kwanza mnatutia hasira za kuwafunga tena 5,okwi sio catalyst, mfumo ndo umewauwa.its me peter kimambo
ReplyDeleteshafii unaz wako wakitoto sana!haya hajaja yanga ila mwisho wa cku ataondoka cmba!huyo anaesema hawezi kwenda popote wala kula akifanikiwa italia utakuwa huli?shafii unaichukia yanga bila sbb!ila angalia madhara za wao pia kukuchukia!
ReplyDeleteOKWI SIMBA DAMU AWEZI KWENDA YANGA BANA ITS KWANJA JR FROM BOOM FC ILALA
ReplyDeletelipeni laki tatu na nusu za wapishi wa pilau kwanza, kisha mtafute bilioni mbili za kumsajili okwi
ReplyDeleteHahahaha Yanga wameshindwa kuwalipa kina mama-ntilie laki nne walizowapikia pilau ya hitma waliosoma wiki iliyopita , wameshindwa kupata hela ya uchaguzi mpaka TBL walivyowasaidia millioni ishirini watapata wapi Billioni moja ya kumsajili Super OKWI?. namuonea huruma mbelgiji wa watu soon watamtapeli arudi kwao.
ReplyDeletemdau Mwekundu mpaka ngozi.
KIWEWE CHA GOLI 5 - 0 BADO KINAWATESA. YAANI ZILE 6 HAWAJALIPA, MMEWAPIGA 5, AKILI LAZIMA ZIWARUKE, WAMEWEHUKA WANATUMIA MAGAZETI KUBWATA OVYO
ReplyDeleteaha! yanga mnaleta ujad ata kwenye masuala ya seriouz km ayo, yaan akili zenu zinakuwa km zmetiwa maji ya ndimu hazifikirii chochote chenye kueleweka, Okwi hawez kuicheza yanga hata km mtauza majengo yenu yote ili mumlipe yeye nyie jiandaen kumtapel yondan 2
ReplyDelete