Search This Blog

Wednesday, June 20, 2012

WADAU MNASEMAJE JE HILI LILIKUWA GOLI

9 comments:

  1. bila ya shaka ni goli na wao Waingereza wanajuwa kama refa ndio amewasaidia

    ReplyDelete
  2. Huyo mwamuzi karibu ya goli kazi yake nini?

    ReplyDelete
  3. live bila chenga hilo ni goli.england hapo wamebebwa.
    sasa kazi ya huyu mwamuzi wa tano hapo golini haina faida coz yeye ndie anapaswa kuliona goli.mim nadhani bora tutumie video replay kwa maamuzi ya magumu kama haya.refaree atoe uamuzi baada ya kuangalia replay tv uanjani.

    nawasilisha

    H.sato

    ReplyDelete
  4. Watu wanashindwa kuelewa...mpira wote unabidi uvuke mstari na sio hata tatu ya nne!!

    ReplyDelete
  5. naipenda uingereza lakini hili ni goli,itabidi matumizi ya techn kuhakiki magoli ikubaliwe tu.

    ReplyDelete
  6. Wadau sheria ya fifa iko hv,mpira ukiingia wavuni bila kutua ground halafu ukaokolewa kama ilivyokuwa kwa John Terry basi itakuwa sio goli,lkn ule mpira ungekuwa umeokolewa huku tayari ushatua chini thn hilo lingekuwa goli.

    ReplyDelete
  7. Waacheni waingereza wafutwe machozi maana si mnakumbuka afrika kusini ilikuwaje walipocheza na wajerumani?!! Lampard alifunga goli likakataliwa kwa utata unaofanana na huu na wakati ule walikuwa nyuma kwa 2:1 lilikataliwa goli lao la kusawazisha!! sasa hapa nadhani kwa waingereza imekuwa droo!!
    Waacheni wasonge mbele sasa!

    ReplyDelete
  8. ni kweri km goli lakini siyo goli

    ReplyDelete
  9. Anonymous wa 2.35 AM, Sheria haiongelei kutua chini bali ni kuvuka msitari wa goli na ni wazi mpira wote umevuka. Waingereza wataalamu sana wa kelele kama wao wakionewa (kama goli la Lampard, Germany) lakini kwa hili wako kimya!!!

    ReplyDelete