Search This Blog

Sunday, June 3, 2012

PICHA: IVORY COAST 2:0 TANZANIA

 Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho Ngassa akiwania mpira na beki wa Ivory Coast, Jean-Jaques Gosso Gosso wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan jana (Mei 2). Stars ilifungwa mabao 2-0.
 Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba akiruka juu sambamba na kipa wa timu hiyo, Boubacar Barry kuokoa mpira kwenye lango la timu yao wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kucheza Michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Kilimanjaro Taifa Stars katika uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abidjan jana. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0.
 Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Ivory Coast, Siaka Tiene wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan jana (Mei 2). Stars ilifungwa mabao 2-0.

 Beki wa Ivory Coast Siaka Tiene akimfanyia madhambi mshambuliaji wa Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho Ngassa wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan jana (Mei 2). Stars ilifungwa mabao 2-0.
 Beki Aggrey Morris (kulia) na kiungo Shaban Nditi (kushoto) wa Kilimanjaro Taifa Stars wakimkaba Didier Drogba wa Ivory Coast wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kucheza Michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Kilimanjaro Taifa Stars katika uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abidjan jana. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0.
 Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Ivory Coast, Kolo Toure wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan jana (Mei 2). Stars ilifungwa mabao 2-0.
 Fair play! Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba akipeana mkono na John Bocco 'Adebayor' wa Kilimanjaro Taifa Stars (kulia) mara baada ya kumalizika kwa mechi ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abuja jana. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0.
 Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mbwana Samatta akimtoka beki wa Ivory Coast Alexandre Lolo wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan jana (Mei 2). Stars ilifungwa mabao 2-0.

 Beki wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Amir Maftah (kulia) akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Ivory Coast Gervas Yao wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan jana (Mei 2). Stars ilifungwa mabao 2-0.

1 comment:

  1. Tatizo kipa kuna siku mtakuja kukubali tu.

    ReplyDelete