Search This Blog

Monday, June 4, 2012

OFFICIAL: MANJI AJICHUKULIA FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI, AMCHUKULIA NA BIN KLEB YA UMAKAMU MWENYEKITI


Yusuph Manji

Muda mchache uliopita nilitoa taarifa za kuhusu Yusuph Manji kuchukua fomu za kugombea uenyekiti wa klabu ya Yanga, bila kuwepo kwa uthibitisho kwamba amechukua kwa ajili yake au kamchukulia mtu.
Ben Kleb akimkabidhi jezi Haruna Niyonzima
Lakini sasa kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mmoja ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi wa Yanga, amethibiisha kwamba Manji amejichukulia fomu mwenyewe ya kugombea uenyekiti, huku akimchukulia aliyekuwa mjumbe wa kamati ya usajili Abdallah Ahmed Bin Kleb fomu za kugombea umakamu mwenyekiti.

8 comments:

  1. MiMi Sishangai ! Huyu jamaa anaipenda kweli YANGA,tatizo ni YANGA wenyewe hasa wanachama wanaoitwa Makondoo na wanachama wa kawaida hawana utamaduni wa kulinda watu wao wa maana.MUDA utatuambia.mimi ni mwanachama No 006413 kesho inshaallah naenda kulipia kadi yangu.YANGA wana BAHATISANA

    ReplyDelete
  2. MiMi Sishangai ! Huyu jamaa anaipenda kweli YANGA,tatizo ni YANGA wenyewe hasa wanachama wanaoitwa Makondoo na wanachama wa kawaida hawana utamaduni wa kulinda watu wao wa maana.MUDA utatuambia.mimi ni mwanachama No 006413 kesho inshaallah naenda kulipia kadi yangu.YANGA wana BAHATISANA

    ReplyDelete
  3. angalau yanga tupumzike viongozi wasiojua uchungu wa timu hawawekezi hata shilingi kumi ila wanataka kuzichota tu wao maamuzi sahihi kabisa Manji

    ReplyDelete
  4. ama kweli sasa bora wachukue timu wa2 wenye akili zao na wenye uchungu na senti zao walizowekeza

    ReplyDelete
  5. Hiyo puwa sana kilabu ni esa acha amiliki chama letu mafanikio ndo hayo tunaimani nae sana tu.

    ReplyDelete
  6. uamuzi sahihi..........

    ReplyDelete
  7. Evance Abdallah MvamilaJune 8, 2012 at 9:37 AM

    Shafii, manji akipita uenyekiti nimejipangia kazi ya kuhamasisha vijana wenzangu 100 kuchukua kadi za uanachama rasmi na si kubaki mashabiki timu tutahamisha ada za uanachama kupanda angalau ada ya chini iwe 5000 ,elfu imepitwa na wakati wanayanga wafahamu ilo. Yanga daima mbele... tukumbuke kuweka mifumo bora ya kuwawajibisha wanafuja fedha za klabu.Vilabu vyetu sio madshamba ya kuvuna pesa bila jasho.

    ReplyDelete