Search This Blog

Thursday, June 21, 2012

KIMENUKA: ALLY MAYAY AONDOLEWA KWENYE UCHAGUZI WA YANGA

Siku kadhaa baaada ya kuwekea pingamizi la kugombea umakamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga, mchezaji wa zamani na mjumbe wa kamati ya utendaji ya uongozi uliojiuzulu wa klabu hiyo, Ally Mayay Tembele leo amepigwa panga katika listi ya wagombea wa umakamu wa raisi.


Kw mujibu wa mmoja ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi wa Yanga, Ally Mayay amepigwa panga hilo baada ya kutotokea wakati wa usikilizwaji wa pingamizi hilo uliofanyika leo, pamoja na kwamba jana lilitolewa tangazo likiwataka wanachama wote waliokuwa wamewekewa pingamizi kufika makao makuu kusikiliza mapingamizi yaliyowekwa dhidi yao.


Tunaendelea kumtafuta Ally Mayay ili tuweze kupata kujua ni hatua gani atachukua baada ya jina lake kukatwa. 
Keep it right here.

6 comments:

  1. Mpe credit Bin Zubery, mbona akichukua habari toka kwenu anawataja....kufanya hivyo siyo sahihi, ni vizuri kutoa sources...thanks.

    London

    ReplyDelete
  2. 1. mbona heading yako imekaa kiuchonganishi wakati tatizo ni yeye mayay? badilika KIMENUKA MEANS MACHAFUKO.
    2. mwaka jana y uliripot mechi nying sana live za simba wakati yanga ni idadi ya kuondoa lawama tu? badilika
    3.wakati unaripoti swala la yondani y hukuonesha interview za pande tatu na kuchukua maelezo ya yondani? Pale ni either kweli yanga walifanya bora liende kama zilivyo klabu hizi za Simba na Yanga Au may be kuna fake signatures ndo mana yondani alilalamika hakusaini simba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. True,"Kimenuka" wakati Ally Mayay mwenyewe hakutokea! Shaffih, you need to adhere to "professional journalism" la sivyo more and more Yanga supporters watakuwa wanakuchukia. You are an excellent mchambuzi wa issues za soccer in general lakini zinapokuja issues za Simba na Yanga, unapotea kabisa.

      Delete
  3. Hapo mzee mzimba akikwambia umemwambia maximo asje yanga unasema anakuonea. Mi bro yani unaniboa sn sjui yanga wamekukosea nini wakulipe,?. We ndio umechangia sana kuivuluga yanga mwaka jana bado tu unaendelea,. Kaka unajijengea uhasama na sisi mashabiki wa yanga

    ReplyDelete
  4. kati ya mashabiki ambao nimeona mabogas ni wa yanga, mna lalamika kama wanawake maana mnapenda msifiwe na msiambiwe ukweli kama wanawake walivyo, mnatuboa washamba nyie,!

    ReplyDelete
  5. huyu jamaa cjui atabadilika ln sasa hapo kosa la yanga ni nn?kaitwa kwenye kikao hakutokea sasa kimenuka nani kakinukisha uwe hata na aibu ndio una mapenzi na mnyama ndio kla m2 ajue acha mambo zako unajitia aibu bure

    ReplyDelete