Search This Blog

Thursday, June 7, 2012

HUU NDO MKATABA WA KELVIN YONDANI NA SIMBA SC.


11 comments:

  1. achana na madudu yao hao wasikupotezee mda,tupe ma vitu mapyaa vp hao gambia washakanyaga ardhi yetu?kipigo muhimu j pili turudishe matumaini
    moses pande za bariadi
    pamoja sana shafii

    ReplyDelete
  2. sasa na yule uliyesema ana miak 17 yuko wapi?

    ReplyDelete
  3. Shaffih kwa kutuwekea mkataba huo yaani umeniacha hoi, nimecheka mbaya, sasa nimeamini Yondani ni kwei amesaini fomu za yanga na simba, ukiangalia sahihi iliyoko kwenye mkataba wa yanga pamoja na ushahidi wa picha za karibuni kabisa na sahihi iliyoko kwenye mktaba wa simba zinafanana....what a drama kweli bongo burudani.
    Ila ambacho kinanishangaza inaonekana amesaini Simba tarehe 1.06.2012 contract extension akatia kibindoni milioni 25 then siku 5 baadae yaani tarehe 6.6.2012 akasaini yanga akatia kibindoni milioni 30.Mimi nafikiri yeye mwenzewe akipatikana angetuambia ni mchezaji wa timu gani kabla moto haujawaka.
    Lakini pia suala la yondani mwenye miaka 17 na yondani mwenye miaka 27 nalo niutata mtupu katika hali ya kawaida kama aliandika kwenye mkataba wa yanga kwamba amezaliwa mwaka 1994 na wao wakakubali mmmmmmmh nina mashaka.
    Ila anaweza akawa anatumika ukiangalia yanga wako kwenye uchaguzi na hao wanaomsainisha ni wagombea anyway mimi sijui.
    This is very interesting ila naomba yondani huko aliko awekemawazo kwenye timu za taifa kwanza kwani tuna gemu weekend hii kisha ndio atuambie amefanya nini na kwa nini yeye ni mtu mzima bhana anajua kujieleza ama kama ameamua kuchukua likizo ya mwaka mmoja kama Guardiola ni sawa kwani mwisho wa siku akiingia hatiani hatocheza na hivi vilabu viwili sivioni vikikaa na kukubaliana.
    Ila shaffih kuna haja kubwa ya hivi vilabu kubadili mfumo wa usajili hivi unaacha mkataba wa mchezaji unakwenda mpaka kubaki mwezi mmoja hilo ni tatizo mbona hawajifunzi kutoka kwa wenzetu wa ulaya, kama wangekuwa na taratibu za kuzungumza na mchezaji walau mkataba ukiwa umebakiza miezi 6 kumalizika haya yote yasingetokea.Leo hii ulaya mchezaji akibakiza mwaka mmoja tayari unaanza mjadala kumweka chini kama bado wanamhitaji vinginevyo utampoteza.Kwa hiyo haya yote yanaletwa na mfumo mbovu wa usajili kwa vilabu vyetu.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  4. SIMBA WAACHE UHUNI WA KURUBUNI WACHEZAJI KIAKILI,HAKUNA MKATABA WA AINA HII DUNIANI YAANI UNAONYESHA UNAISHIA MAY 2012 HALAFU NA EXTENSION HAPO HAPO YA MIAKA 2??,IKO WAPI HAKI YA MCHEZAJI KUJIAMULIA,KWA MAANA HIYO YONDANI ALISAINI MIAKA MITATU PASIPO KUJIJUA??HUU NI WIZI WA KISHERIA,MNAWARUBUNI WACHEZAJI KWA KUTUMIA UMBUMBUMBU WAO WA KIELIMU.

    ReplyDelete
  5. Hii ndo Bongo Daslam
    Kelvin Yondani + Simba CS + Young Africans = 0
    On this matter mess up on heads must be found on you(ShaffihDauda) maana kama ndo mimi ningeshagaili kufuatilia hizi habari ningejiburudisha na takwimu za Euro ila coz wewe ni Sports Analyst kazi mmnayo
    Tanzania Fitna Football- Baaab Kuubwa

    Nakushauri kwa siku ya leo ingia Sports Xtra na clips za kina CR7, RvP, Walcot, Rooney, Gomez ili ujipoze

    ReplyDelete
  6. is it not possible to amend page one(without signatures) coz there are two different pages???help plz

    ReplyDelete
  7. Sasa hii michezaji yetu haijui kusoma English? mbona mkataba upo clear

    ReplyDelete
  8. Tatizo hili la wachezaji wa Tanzania kutokuheshimu mikataba yao ndio linasababbisha hawawezi kucheza Proffessional football in europe! Nafikiri wanahitaji kupewa elimu ya kutosha kuhusu mikataba na umuhimu wa kuheshimu mikataba yao.

    ReplyDelete
  9. Hapa bwana atakayekuwa amebug step itakula kwake,kama Ni Simba au ni Yanga au ni Yondani kitajulikana mwisho wa siku.


    Abraham Jesse

    DUCE

    ReplyDelete
  10. YANGA wana mahela lakini ni mbumbumbu wa sheria. We unakwenda kumlipia mahari mke wa mtu...! unategemea nini, imekula kwao.

    Waelewe kbs kuwa kufanya mawasiliano na kumsainisha mchezaji alie kwenye mkataba na timu nyingine ni kosa.

    ReplyDelete
  11. I dont think for my small knowledge of Contracts kwamba mkataba huu wa yondani mbona kama ni wa kimagumashi maana Hii copy ya kwanza inaweza kuchapishwa nyingine maana haina saini ya mchezaji wala tarehe kitu ambacho kinaonyesha kuwa huo mkataba ni feki kwa uelewa wangu mdogo labda kama atajitokeza mwenyewe yondani na kulizungumzia hilo ndio nitakuwa na imani nje ya hapo bado mm ni tomaso
    Raymond Masimba
    Mdau
    Arusha

    ReplyDelete