Okwi ni hatari, jamaa anakimbiza, goli karibu zote 5 zimetoka kwake, shukrani shaffih kwa kukata kiu yanga ya kutaka kuyaona hayo magoli kwani sikuiona mechi live. Shaffih nina jambo jingine ambalo kama utanisaidia nitashukuru sana, ni suala zima la betting huwa nataka sana ku bet kwenye kandanda ila kuna mambo yananitatiza, hizi namba zinazotumika huwa sielewi zinasomwaje kwa mfano unaposema kwenye ligi ya uingereza nafasi ya kuchukua ubingwa iko hivi Man city 4/9 na Man Utd 7/4, namba ya juu inapokuwa kubwa kuliko ya chini and vice versa nini hasa maaana yake. Na suala la pili ni ligi ya ujerumani, kwenye relegation battle kwa sasa baada ya Hertha Berlin kushinda mechi yake ya mwsho thidi ya Hoffenheim kwa bao 3-1 matokeo hayo yaliishusha koln lakini ili hertha kuendelea kubaki anapaswa kucheza na timu gani ni timu ambayo nayo iko kwenye relegation zone kwenye league 2 ama anacheza na mshindi wa tatu kenye league 2 ambaze ni Dussedorf na utaratibu wao ukoje kwa timu zinayopanda kuja kucheza Bundesliga hasa timu ya tatu itakayoungana na zile mbili ambazo zenyewe zinapanda moja kwa moja. Thanx Mdau Mike.
Kwa beki ya yanga it was a nightmare. jambo mmoja ambalo mabeki hawapendi ni kukutana na winger ambayo in a pace na kama winger ana pace,good control and brain makes it even worse for a defender and Okwi possess that and that makes him very dangerous to opposition.What a player, if Simba still had Mbwana Samatta on one flank and him on another perhaps the would have gone far in international stage and perhaps win it,too bad uongozi huko kutengeneza peas zaidi than being a successful club.
SIJUI WALICHOKIFANYA MABEKI WA YANGA KAMA NI UMRI ,KUJITUMA AMA NININI..
ReplyDeleteOkwi ni hatari, jamaa anakimbiza, goli karibu zote 5 zimetoka kwake, shukrani shaffih kwa kukata kiu yanga ya kutaka kuyaona hayo magoli kwani sikuiona mechi live.
ReplyDeleteShaffih nina jambo jingine ambalo kama utanisaidia nitashukuru sana, ni suala zima la betting huwa nataka sana ku bet kwenye kandanda ila kuna mambo yananitatiza, hizi namba zinazotumika huwa sielewi zinasomwaje kwa mfano unaposema kwenye ligi ya uingereza nafasi ya kuchukua ubingwa iko hivi Man city 4/9 na Man Utd 7/4, namba ya juu inapokuwa kubwa kuliko ya chini and vice versa nini hasa maaana yake.
Na suala la pili ni ligi ya ujerumani, kwenye relegation battle kwa sasa baada ya Hertha Berlin kushinda mechi yake ya mwsho thidi ya Hoffenheim kwa bao 3-1 matokeo hayo yaliishusha koln lakini ili hertha kuendelea kubaki anapaswa kucheza na timu gani ni timu ambayo nayo iko kwenye relegation zone kwenye league 2 ama anacheza na mshindi wa tatu kenye league 2 ambaze ni Dussedorf na utaratibu wao ukoje kwa timu zinayopanda kuja kucheza Bundesliga hasa timu ya tatu itakayoungana na zile mbili ambazo zenyewe zinapanda moja kwa moja.
Thanx
Mdau
Mike.
Kwa beki ya yanga it was a nightmare. jambo mmoja ambalo mabeki hawapendi ni kukutana na winger ambayo in a pace na kama winger ana pace,good control and brain makes it even worse for a defender and Okwi possess that and that makes him very dangerous to opposition.What a player, if Simba still had Mbwana Samatta on one flank and him on another perhaps the would have gone far in international stage and perhaps win it,too bad uongozi huko kutengeneza peas zaidi than being a successful club.
ReplyDelete