Usiku wa kuamkia jana nikiwa na mwenyeji wangu wa hapa Ujerumani - DJ Max tulienda kuangalia mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich na Uholanzi.
HAPA TUKIWA TUNAELEKEA UWANJA WA ALLIANZ ARENA
ALLIANZ ARENA IKIWA IMEBADILIKA BAADA YA MECHI YA CHAMPIONS LEAGUE
No comments:
Post a Comment