Nikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuelekea jijini Munich Ujerumani kupita Dubai kwa ajili ya kuwaletea coverage ya live kutoka Allianz Arena kwenye mtanange wa fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya kati ya Chelsea na Bayern Munich. Endelea kuwa nami kwa uhondo zaidi. |
Kila la kheri na safari njema mkuu, karibu sana ujerumani mkuu.Ila nimekukubali mimi niko hapa ujerumani-Kassel ila Tiketi nimekosa nilitamani sana kuwa sehemu ya hiyo historia ila nimechelewa.Kwa sasa ni Fruhling huku ila kuna kabaridi kakali bado japo si sana na si kila siku kuna wakati mnaamka na jua la kishkaji natumai siku ya fainali weather itakuwa poa.
ReplyDeleteKaribu sana.
Mdau
Mike.
kulikuwa na ulazima gani wa ww kuvaa jezi ya bayern au ndio team cku hiyo
ReplyDeleteEbana Shaffih safari njema broo,natumai tutapata madini ya kutosha sana kutoka munich kupitia wewe,kila la heri na tuko pamoja
ReplyDeleteMbona unaweka taarifa ki-Mbagala Mbagala wewe sasa unaposema "nipo njiani kuelekea Munich" mimi nisie kujua unaniachia maswali wewe nani? usi assume kila mtu anae tembelea hapa anakujua kwa sura au jina.
ReplyDeleteTubadilike jamani, anyway all the best maombi yangu yako na Bayern
kaka inaonyesha tayari umesha weka mzigo wako kwa MUNCHEN ilanakua kikishi munchen anakufa 2 kama wamesimama dat whatsup
ReplyDeleteDah kaka kwel umeonyesha jinsi gan upo serious na football,nakupongeza kwa hilo mana utatuletea the reality...
ReplyDelete